Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Konokono beach 386$ per night🇹🇿🇹🇿
images - 2020-02-26T214742.117.jpeg
images - 2020-02-26T214800.768.jpeg
 
Ila magu ni mjanja sana yani kwenye mipaka ya Tanzania anaendeleza kujenga hospital za kimataifa ili awavutie majirani waje kutibiwa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇
Musoma new modern hospital is near to isbania, migori and kisumu

IMG_20200226_220901.png
IMG_20200226_221645.jpg
IMG_20200226_221648.jpg

Hakuna slum nairobi yenye nyumba kama hizo,h uwezi kudanganya jombaa kwenye slum zenu zile kuna vibanda mabati full suit..
Hakuna nyumba kwenye slum zenu,ni vibanda vya mabati tu mwanzo mwisho
Sikatai ila nataka unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi kama sio slum.
Screenshot_20200216-004315.png

Nionyeshe tu mtaa wowote Nairobi yenye nyumba kama hizo kama sio slum
 
Kq ina increase revenue za watu na sio za shirika nyinyi kazi yenu ni kuchukua pesa za taxpayers na kulipa ile hasara imebaki hio ndio kazi yenu, yani mzungu aeke ndege zake hapo uzifanye kazi bure 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Atcl isikunyime usingizi kabisa yani ni airline iliofufuliwa juzi na inafanya mambo makubwa sana na pia tunaona kwa macho na utegemee huh mwaka ndege 3 mpya🤣🤣🤣🤣

Sasa ingekua kq inaongezeka revenue kwann msinunue ndege za kwenu wenyewe na hio hasara kila mwaka ingekua inatoka wapi???
Unatumia maneno nyingi kutoa povu. You avoided one important question I asked you: cab you show us ATCL's expenses for the same period?
 
Unatumia maneno nyingi kutoa povu. You avoided one important question I asked you: cab you show us ATCL's expenses for the same period?
So umepanic 😀😀😀😀😀
Sikatai ila nataka unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi kama sio slum.
View attachment 1369898
Nionyeshe tu mtaa wowote Nairobi yenye nyumba kama hizo kama sio slum
Define slum hebu tuanzie hapo😀😀😀
 
Back
Top Bottom