Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani wewe kinachokusumbua ni nini? Maendeleo? Na umesema kuwa unaishi nyuma ya hayo majengo kwa hiyo inamaanisha unaishi uswazi sio? Wewe ni chanzo cha maeneo hayo kuwa hivyo. Serikali inajenga barabara za lami nyuma ya hayo majego vizuri tu ila watu kama nyie ndio mnatia doa. Sasa sielewi unayemlalamikia ni nani. Jilalamikie mwenyewe. Jinga wewe
 
Bila aibu anasema eti anakaa nyuma ya hilo jengo af ni uswazi, ss cjui anataka kumaanisha nini au hawa ndio wale wapuuzi wanaosubiri serikali imfanyie kila kitu, yn GoT imepeleka kila kitu maeneo hayo, maji, mitaro km mahandaki, 8-9 lane road, majengo ya kuvutia lkn kuna wapuuzi wanalitia doa eneo af wanakuja kujicfu ushuzi hapa....smh
 
Huyu katumwa huyu....sio bure
 
And some people are busy comparing Nairobi with their tiny ass...if i am not wrong that is just a small section of Wetlands and Kileleshwa in the background according to ur photo

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL between Dar and Nairobi who is in the right place to call his fellow a "tinny ass"? Dar is three times bigger than Nairobi, put that in mind first
 
LOL between Dar and Nairobi who is in the right place to call his fellow a "tinny ass"? Dar is three times bigger than Nairobi, put that in mind first
I mean developed area not slums and bushes
tapatalk_1582434355240.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pinnacle iko wapi???

SGR vP naskia majani tu 1b ksh🤣🤣🤣

Vp kq bado munamiliki ndege 3 miaka 35 sasa

Vipi kuhusu konza imefkia wapi

Unaeza nioneshe tatu city atleast iwe imefika 20% from a render coz ina zaidi ya miaka 10 toka nimeijua

Vp kuhusu Nairobi 88 na montave zimeenda mbinguni🤣🤣🤣🤣

Wapi ile BRT ya kuchora ya thika bado alama hazijafutika tu😁😁😁😁

Wapi Nairobi mombasa Express way imeishia kwa mfuko wa jubileee😁😁😁😁

Kuna ndugu yako alinidanganya mumeanza kujenga westland expressway unaeza nioneshe wapi munajenga 😁😁😁😁

Vp kuhusu locusts wameing county gani bro wape salamu waambie checheiii👍👍👍

Kenyatta baba lao🤣🤣🤣🤣
Kenyatta yupo ujeruman na bakuli ngoja tusubirie labda miradi itakick 😁
 
Back
Top Bottom