Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good morning from NBO
FB_IMG_15827031537267782.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naishi maeneo hayo, nyuma ya
Jengo la acacia Kuna uswaz ya Mwananyamala sio leo Wala kesho patajengwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni juhudi za serikali kuhakikisha kuwa hayo maeneo yanaboreshwa na ni kweli, hakuna mwenye uhakika ni lini serikali itafanya hivyo ila ujue kuwa ni afadhali sasa kuna real estate boom maeneo hayo na inawezekana wakazi wa hapo wakazidi kuboresha majengo yao.
 
Back
Top Bottom