Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Aisee hii nayo ni Tanzania??!!!...mbona tumebarikiwa sana...
Sijawahi sikia hii japokuwa nimeishi tz miaka mingi sana
Aisee hii nayo ni Tanzania??!!!...mbona tumebarikiwa sana...
Huo ni mlima au kichuguu!??Mt Kenya is the most beautiful with numerous attractions, si kama hio yenu ni stories na snow pekee
View attachment 1365762View attachment 1365763View attachment 1365764View attachment 1365765View attachment 1365766
Wazo mujarab
Tafuta hio link ukipata nitag mm 😀😀👇👇👇Hatuwezi fanana ndugu hata kwa dawa. Huwezi kutana na huo uchafu hapa Nairobi ukishatoka nje ya slums ila Dar yenu 70% inafanana hivyo. Msilszimishe tufanane tafadhali
Sehemu gani hapo nairobi???🤣🤣🤣🤣🤣
Hehehhe watanzania hakikisheni huyu anawaambia hapo ni sehemu gani nairobi🤣🤣☝️☝️☝️
Jibu swali ile picha uliopost ni Nairobi sehemu gani simple qns🤣🤣🤣🤣🤣That's Nairobi kijana. Sisi hatuna mfumo wa "dream houses in unplanned settlements" 😂 😂 😂. Kama huamini hapo ni Nairobi, zingine ndio hizi hapa hadi zile "slums" zako za Ruai
View attachment 1365749View attachment 1365750View attachment 1365751View attachment 1365752View attachment 1365753View attachment 1365754View attachment 1365756View attachment 1365755
Ndo hvyo kaka tuko na mali nyingi sn so ukisikia Magu anajinadi kuwa ni tajiri ujue anamaanisha.Aisee hii nayo ni Tanzania??!!!...mbona tumebarikiwa sana...
Sijawahi sikia hii japokuwa nimeishi tz miaka mingi sana
Respond and tel me hapa ni wapi Nairobi plz🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇I decided not to respond to him because anajifanya anajua Kenya zaidi kutuliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ujinga wa wakenya yn wako radhi kuongopa ili wapate sifa which is typically unprofessional.Hehehhe watanzania hakikisheni huyu anawaambia hapo ni sehemu gani nairobi![]()
Kuokota picha jamaa ndo tabia yaoHehehhe watanzania hakikisheni huyu anawaambia hapo ni sehemu gani nairobi🤣🤣☝️☝️☝️
🤣🤣🤣🤣🤣Hatuwezi fanana ndugu hata kwa dawa. Huwezi kutana na huo uchafu hapa Nairobi ukishatoka nje ya slums ila Dar yenu 70% inafanana hivyo. Msilszimishe tufanane tafadhali
Hakikisheni anawaambia hapo ni wapi 🤣🤣🤣🤣Huu ndio ujinga wa wakenya yn wako radhi kuongopa ili wapate sifa which is typically unprofessional.
Mkenya ukiskia akijisifu unaeza sema nchi fulani iko Europe kumbe ushuzi wa bata wananuka umaskini kuliko nchi yoyote Africa mashariki🤣🤣🤣🤣Kitekinolojia wakenya mko nyuma yetu hii utaratibu ya kukata ticket ilikuwa inatumika tazara 1998,lakini nimeshangaa leo naiona kwenye modern SGr yenu... hahahaaaaaaaa you guys kumbe hamna kitu
Hio picha haina uhusiano na ruai area yani musije kujiaibisha hapa umenielewa engineer🤣🤣🤣🤣
Because you know better than us, ebu tuambie hapo ni wapi Mr know it all.Hio picha haina uhusiano na ruai area yani musije kujiaibisha hapa umenielewa engineer![]()