Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Screenshot_20200219-000818_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-001146_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-001206_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-001544_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-001032_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-001529_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-001127_YouTube.jpg
Screenshot_20200219-000901_YouTube.jpg
 
Stations ni kweli nzr ila ilo dude linalotoka hapo ss View attachment 1362114
LOL station zao hunichekesha jambo moja

Unaanzia kuzipanda chini kisha unaenda juu then unashuka chini kukamata mtambo wako wa komoni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani hiyo routine ni utafikiri unapunguza obesity ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
sijui kwann hii imenitokea.. ni kwamba baada ya kuona picha za SGR ya Tanzania, haya mastations makubwa ya kenya SGR nimeyaona hayana mvuto tena
Stations zetu ni portable zenye tija zinazozingatia maeneo tofauti na wenzetu ma stations makubwa mpk porini af wanatuambia eti wamelenga 2035 ongezeko la watu, wangesema tu ongezeko la watu na wanyama
 
Nilipigwa ban baada ya kuleta Uzi wa namnagani serikali ya Kenya imeusika kuwekewa vikwazo Na marekani ,Nilitaka kushusha nondo hatari kwenye huo Uzi ,
Kunasiku nilisema hapa majeshi ya Kenya yalikimbia baada ya al shabbab kuvamia kambi ya jeshi Kenya na USA na kuua wamarekani nikaonekana muongo nikala BAN baada ya siku chache repoti kutoka kwa wamarekani wenyewe ikatoka kuwa wanajeshi wa Kenya walikimbia na kujificha maporini tena habari ya chini ya kapeti zinasema kdf 20 walikimbia wakiwa uchi maana walikuwa wanaoga kama mang'ombe pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa mkuu umeuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom