Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mount kilmanjaro m 5895
Mount kenya 5199

Ukapimwe mkojo nuguu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mt Kenya is the most beautiful with numerous attractions, si kama hio yenu ni stories na snow pekee
images (30).jpeg
gettyimages-1046941140-2048x2048.jpg
images (29).jpeg
Photo-2.png
images (24).jpeg
 
Hasa kuanzia ground level..nahisi kwenye viwanja sio mbaya sana..il inabid tuinvest kwenye academy ..zile youth centre au park kama JK Kikwete ziwe kila mkoa....na ziwe zina makocha waliofunzwa kufundisha Football,Netball,Volley Ball ,B Ball na Swimming na Indoor games kama draft,pool, soccer table etc ...kuwe kuna kusaka vipaji nchi nzima..kimkoa mkoa ..watoto wenye vipaji wana hamasishwa kwenda kwenye youth centres..

Pia tufanye hivyo kwenye music THTs hizi ziendeshe na Wizara tuwe nazo hata 5 kila zone nchini na ziwe na walimu wanaofundisha watu wenye vipaji ....za music ,kuigiza na production..

Then serikali ifatute hata Bil 100 kwa ajili ya indoor stadiums in door 5 walau kila zone moja ...

Ni investment nzur na inaweza fanyika kidogo kidogo hio ni idea na inaweza kuwa improved vizuri..

Ila tukiweza kufnaya entertainment and sports hutoa ajira kwa vijana wengi wasio na uwezo wa kusoma masomo ya darasani ..na pia ni source ya revenue kwenye nchi ..tuki export hawa watu...wenye vipaji.. Ndo akina Sammata wengi tunawapata hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure

Ni muhimu sana km tunataka kuitangaza nchi internationally
 
That's Nairobi kijana. Sisi hatuna mfumo wa "dream houses in unplanned settlements" [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kama huamini hapo ni Nairobi, zingine ndio hizi hapa hadi zile "slums" zako za Ruai
View attachment 1365749View attachment 1365750View attachment 1365751View attachment 1365752View attachment 1365753View attachment 1365754View attachment 1365756View attachment 1365755
I decided not to respond to him because anajifanya anajua Kenya zaidi kutuliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You see how worlds apart we are? Our "slums" are a million times better than those aqualors of yours called dream houses
Hata kalachi tukiamua kuleta nyumba mojamoja huwezi kuamini kuwa ni slum,only kibera,dandora,mukuru ndo imeshindikana yenyewe ni slum tu hata ukileta nyumba mojamoja

Hivi kwa nini hampendi ukweli kuwa mko na slum mob??
 
Back
Top Bottom