ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Zinajengwa kwa pamoja km 722 na mpaka sasaImekamilika Km ngapi?
Phase 1 km 300 iko 75%
Phase 2 km 422 iko 24%
Zinajengwa kwa pamoja km 722 na mpaka sasaImekamilika Km ngapi?
Hivi ndio vitu wanapita bila kucomment......sura zinawashuka kinyamaWatanzania naombeni muwe na subra mwaka huu kwani mutapokea matusi, mapovu na ngumi nyingi za hewani kutoka kwa majirani 😁😁😁👇👇👇 mwaswast Teargass Nicxie
View attachment 1361480View attachment 1361482View attachment 1361481View attachment 1361483
Naona umeamua kuwafanya wakenya wahare siku nzima ya leo 😂😂😂
Naomba uwaambie wasihare humu wakahare kwenye ofisi ya ruto kabutua billion 40 ksh😁😁Naona umeamua kuwafanya wakenya wahare siku nzima ya leo 😂😂😂
Wataambia nini watu 😂😂😂Naomba uwaambie wasihare humu wakahare kwenye ofisi ya ruto kabutua billion 40 ksh😁😁
Naomba tuimbe kwa pamoja tano tena jubilee, tano tena mchina 👏👏👏😁😁😁😁Wataambia nini watu 😂😂😂
Bro mbona ni kama umeniachia ugonvi alaf hamutambui kama mm ndio mwenyekiti nimekaimu nafas ya kadoda😁😁😁😁Dar es Salaam kuna Hela, Kuna watu, kuna Mpira, Kuna treni za Umeme, Kuna Brt, Kuna marine transport, kuna modern Airport, kuna 3floor interchange, kuna beautful beaches, kuna Sea Bridges, kuna modern Bus station, kuna Gas cars, kuna The biggest Sports studios in Ea an Central, kuna modern university library, kuna the biggest city in Ea and Central, kuna biggest Football stadium in Ea an central, kuna Full 8 lane road with Brt, kuna Biggest Fish market in Ea n C, kuna Big and Modern Hospitals in Ea, daaah Simu imeisha charge ntaendelea[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Wakenya twasema uhuru ruto tano tena 🎶Naomba tuimbe kwa pamoja tano tena jubilee, tano tena mchina 👏👏👏😁😁😁😁
Aaaah subutu ,ile SGR Yao embu na waipost basi tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania naombeni muwe na subra mwaka huu kwani mutapokea matusi, mapovu na ngumi nyingi za hewani kutoka kwa majirani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116] mwaswast Teargass Nicxie
View attachment 1361480View attachment 1361482View attachment 1361481View attachment 1361483
Sasa kuna faida gani uwe na station nzuri alaf reli ianishia machakani🤣🤣🤣🤣🤣Aaaah subutu ,ile SGR Yao embu na waipost basi tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tumewapiga 3 buyu bila wasiwasi...
Kitu pekee wanajivunia ni stesheni basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka unionyeshe from 0-100km sio renders na tuta-Zinajengwa kwa pamoja km 722 na mpaka sasa
Phase 1 km 300 iko 75%
Phase 2 km 422 iko 24%
Aaaaa kulaleki[emoji288] leo dunia imezungukia bongo nayo...[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1361489View attachment 1361490View attachment 1361491
Nataka unionyeshe from 0-100km sio renders na tuta-
Ila wakija hapa wanajicf kwmb nchi yao ina matajiri, ss matajiri hao wa wp ata Forbes haiwatambui.