Hamna uwezo wa kutupita$3bn af kumbuka kwamba hzo report ni matokeo ya cc kulala miaka mingi, we subiri report baada ya miaka 5 ijayo mtafurah wnywThe difference is $3bn according to wold bank.
SGR ya Kikwete ilitakiwa kuwa km yenu mtungi wa chang'aa co km hii ya Magu[emoji116][emoji116]Ya Bomba la mafuta limewahepa.
Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM na Kampuni ya Ujenzi ya Reli za serikali ya China. Magufuli aliitupia hii dili nje kwa madai kuwa ilikuwa na harufu ya ufisadi na kwamba tutajenga SGR kwa fedha zetu za ndani.
Sasa leo hii, zaidi ya fedha ambazo tayari tumezamisha kwenye SGR kipande cha Dar hadi Dodoma tu, tumekopa tena $ 1.46 Bilioni ili kukamilisha ujenzi wa SGR toka Dar hadi Makutopola. Hili linafanyika wakati TRC wanasema hadi sasa kipande kilichojengwa kimeshakula $1.3 Bilioni. Hii inamaanisha kwamba tunakopa $ 1.46 Bilioni kukamilisha sehemu ambayo tayari imekula $1.2 Bilioni. Kwa hiyo basi, hadi sasa kuanzia Dar hadi Makutopola gharama inaweza kufikia zaidi ya $3 Bilioni, ambayo ni karibu nusu (50%) ya mkataba ambao Kikwete na Wachina walikuwa watie sahihi kama gharama ya kujenga SGR yote, na Raisi Magufuli akatuaminisha Watanzania kwamba ule mkataba ulikuwa na harufu ya ufisadi.
Unataka barabara za ndani ya mbuga zichapwe lami?Some excuses doesn't make sense. Barabara enyewe hata haikuchapwa lamiView attachment 1361149View attachment 1361150
Leo umemnyoosha sn [emoji3][emoji3] kaingia cha kike maamaeee mnataka kushindana ubovu wa barabara na Tz [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] another scandal apart from that 40b ksh
Ongeza na hizi[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]...kisha ingiza dream houses [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1360870
But yet KQ is pathetic.
Hizi boksi za kufugia kuku tulishawaambiaWe shall get there to the world's best [emoji108][emoji108]View attachment 1361201View attachment 1361202
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafurahia hivyo vibanda? [emoji23] [emoji23]We shall get there to the world's best [emoji108][emoji108]View attachment 1361201View attachment 1361202
Sent using Jamii Forums mobile app
and that map shows Mwanza right? when u come from "shit in the slum capital"....!Hiyo airport ya tz hata baada ya kuunda godown hawapigi bao.......kubalini tu Nairobi iko juu yenu. LolView attachment 1361181
Sent using Jamii Forums mobile app