Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

darislum you can hide but not run.....hata akili za kupanga mji hamna mnaishi kama nguruwe....helter skelter
20181021_201440.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Nairobi City.....most developed in East and central Africa




Sent using Jamii Forums mobile app
darislum you can hide but not run.....hata akili za kupanga mji hamna mnaishi kama nguruwe....helter skelterView attachment 1360240

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watu kama hawa wameshindia nini wa kibera....lol.you claim you don't have slums yet top 10 poorest cities in the world.......haiingii akilini...View attachment 1360250View attachment 1360252

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sindano zimekuingia barabara mpk unarusha majini hovyo hovyo

Na kwa faida yako tu nikwamba mwaka huu hii battle lazima ipoteze uhalisia amini kwamba.

Hamuwezi kushindana na nchi iliyopiga hatua kimaendeleo km Tz,
 
Hawa jamaa kwakweli wangekujua wangekuteka mana co kwa kuwaanika huku
Btw, Tatu city imezd mpk electrified sgr from Dar to Moro duh c mchezo, absolutely a big white elephant.
Kweli maana kuna picha alikua anapost yupo kenya na gari ilikua na plate number za Tanzania zinaonekana clear ukiangalia kwenye site mirror . Nilikua naona hapo umakini ulikua mdogo

kitochi
 
Back
Top Bottom