ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mvumilieni huyo kashachanganyikiwa tayari🤣🤣Angekuonesha ila humu haitoshi
Mvumilieni huyo kashachanganyikiwa tayari🤣🤣Angekuonesha ila humu haitoshi
Ngerengere station which is more than one hundred km from dsm is almost complete, shida station zote zinafanana sasa sijui nakusaidiaje...ambazo hazifanani ni ya dar na Moro tuShow me a complete station 100km from Dar.
Hata uwe mjinga kiasi gani kaka hapa lazima ukubali...reli wameshaikubali.. wanaisubiria treni yenyewe wawe na cha kesema [emoji23][emoji23] tuombe Mungu treni iwe bomba.. maana ndo sehem iliyobaki wanaitegemea kutoponda [emoji23][emoji23]
Hata uwe mjinga kiasi gani kaka hapa lazima ukubali...
Nawasubiri kidude kije tutawafrahisha nakwambiaView attachment 1361663
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uwe mjinga kiasi gani kaka hapa lazima ukubali...
Nawasubiri kidude kije tutawafrahisha nakwambiaView attachment 1361663
Sent using Jamii Forums mobile app
Fence ni lazma coz hii high speed train broafu wakiweka fence na parking lot sehem kubwa itapendeza
Umeme umeme tu ata iwejereli wameshaikubali.. wanaisubiria treni yenyewe wawe na cha kesema [emoji23][emoji23] tuombe Mungu treni iwe bomba.. maana ndo sehem iliyobaki wanaitegemea kutoponda [emoji23][emoji23]
Hawa wadada mbona wanawatia sana adabu uko.......aiseee ni kiboko na watarudi na ubingwa ...
Wako vizuri.Hawa wadada mbona wanawatia sana adabu uko.......aiseee ni kiboko na watarudi na ubingwa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Watapoteana humu 😂😂😂Mm nakwambia bado subiri siku ya ufunguzi watalia kilio cha mbwa koko kwenye mitandao ya kijamii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ingine wapi? Bendera tatu?