Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,247
- 18,062
Wewe ulishasema kwamba hiyo ni Nairobi-Nakuru highway hadi ukahapa so hakuna haja ya Kutusumbua tena.Leta sign board yoyote ikionesha Kenya kuna ujenzi wa BRT Kenya haki ya Mungu ukipata mm nafunga acc jamii forum🤣🤣🤣🤣