Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Mbona Ruto yuko mbio kujitetea anahusika nini?
Kocha Dean Smith alifanya sub mby kumtoa Samatta mana ake akawa ameruhusu Totteham kupanda wakawa wanakabia juu, unajua faida ya kuwa na Samatta mbele ni msumbufu kwa mabeki wa timu pinzani, ss alipotoka tu mzigo mkubwa ukamuelemea capt. Grealish pekeake kukawa hakuna mashambulizi mbele na mchezo ukawa umeishia hapo.Sasa huyu nae makasiriko ni ya nini
Hawezi toka hapo bro 🤣🤣🤣🤣Mbona Ruto yuko mbio kujitetea anahusika nini?
Boko lingine hilooo
naona Rungu ya Gideon imeanza mambo yake!Hawezi toka hapo bro 🤣🤣🤣🤣
👏 👏 👏Kocha Dean Smith alifanya sub mby kumtoa Samatta mana ake akawa ameruhusu Totteham kupanda wakawa wanakabia juu, unajua faida ya kuwa na Samatta mbele ni msumbufu kwa mabeki wa timu pinzani, ss alipotoka tu mzigo mkubwa ukamuelemea capt. Grealish pekeake kukawa hakuna mashambulizi mbele na mchezo ukawa umeishia hapo.
Kingine ni kwamba Villa wanatakiwa wanunue beki zenye uwezo wa kufanya maamuzi mapema, beki zao za ss kuanzia namba 5, 4, na namba 3 hazina maamuzi ya haraka ambapo inapelekea kufanya makosa ya mara kwa mara.
Tanzania has only 4 buildings which are clearly past 30 floors.....
Sent using Jamii Forums mobile app
okay tumekusikia, unaweza kwenda kulala sasa 🤣🤣












!Kwanza pitia vzr tulipoanza alaf comment una kiherehere jama bao la kwanza🤣🤣🤣Huyo anataka umuonyeshe lami imeshawekwa ndio ajue construction is going on. Kilaza wa mwisho
Umeamini kwmb huyu ni mlevi? Mods huwa wanamuonea tu kumpga banokay tumekusikia, unaweza kwenda kulala sasa![]()
Lazima apagawe na akiondoka akirudi tena anaweza akazimia kabisaMocambicano reage Dar es Salaam, Tanzania
Source: OS PRIMOS / MZ
N.B
Kifupi jamaa yetu anashangazwa na kutamani anachokiona Tanzania huku anakuwa akijiuliza anaota au ni ukweli anachoona kijiditali machoni akikatiza sehemu mbalimbali ya Jiji Letu pendwa Afrika Mashariki


Kwani ulisikia alilazimishwa kuwekeza? The investors already did their homework before committing so wewe unaongea mambo usiokuwa na uelewa hata kidogo. Someone can't invest such amount of money on such a big project if he hasn't done his homework on ROIHawezi kupata na akipata mm nafunga acc jamii forum bro mark my words🤣🤣🤣 project yenyewe ni render tena bado ina vizuizi vingi sana kwasababu ni PPP na mwekezaji anaangalia maslahi je itamlipa 😁😁😁😁
Duuuuu !!! Kweli ni Roysambu...