The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,534
Wanaongopewa na mpinga maendeleo (zitto) kwmb mradi umecmama nao wanaamini
Wanaongopewa na mpinga maendeleo (zitto) kwmb mradi umecmama nao wanaamini
Japanese really did a very good work. Look at the pedestrian path and the cyclist path. Alafu the kind of buildings coming up along this area can make it rival Mombasa road and Wayiaki way.I like what the Japanese did on this road. Quality work
Toa uchafu
Pipeline imeanza pande gani Tz na picha za kibao ya kuonyesha mkandarasi ziko wapi?Wewe Ondoa funza kichwani ndio maana nakwambia JKIA westland expressway bado ni render yani hua unabisha mambo ya upuuzi sana
Baaas! Sasa weka ya Pipeline Kama Hii 😁😁Jibu lako utaipata hapa🤣🤣👇👇👇View attachment 1359506View attachment 1359507
But mbona unachagua jengo halijakamilika?Use you eyes my friend. GTC all the six towers are above 30 while uko kwenyu Millenium is below 30 and Rita also is below 30.
Here is your Millennium
View attachment 1359730
3 famous buildings of Dar always visible in each and every Dar photos
Kwan we ukichimba kisima cha maji mita 50 kutoka kwenye nyumba yako bomba unaanza kuunganisha wapi kwanza ???? 🤣🤣🤣🤣Pipeline imeanza pande gani Tz na picha za kibao ya kuonyesha mkandarasi ziko wapi?
Baaas! Sasa weka ya Pipeline Kama Hii 😁😁
Mm ndio nakuuliza swali unijibu??🤣🤣🤣Is that place nimeandika ground iko juu ya parking area?
Kwa nyumba Kwanza. Sasa onyesha picha za mitaro ya Bomba la mafuta humo Tz na uelezee ni pande gani ya Tz.Kwan we ukichimba kisima cha maji mita 50 kutoka kwenye nyumba yako bomba unaanza kuunganisha wapi kwanza ???? 🤣🤣🤣🤣
Umeona vile sindano zimekuingia vyema🤣🤣💉💉💉💉💉💉💉Kwa nyumba Kwanza. Sasa onyesha picha za mitaro ya Bomba la mafuta humo Tz na uelezee ni pande gani ya Tz.
Jana nilimuonesha floor ambayo alikuwa anairuka akakimbia nashukuru na leo umemuonesha
Huyu nadhani tumuache ni mlevi huyu, huwa anakoment akiwa keshapga chang'aa