Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

clearly haujui apartment ni nini. Hizo nyumba ni tofauti zote, na ziko kwa parcels of land different. ata macho hauwezi tumia.
hizo......class room zenu zafanana aisee zimekaa kimakundi.....yaani eneo moja nyumba kumi ukienda pengine nyumba kumi acha longolongo na ubishi wakipuuzi ngoja nikuletee upuuzi uliouweka...
 
We haujui apartment ni nini... sasa unataka mtu anaishi kibera awe pia na nyumba hapo, like what is wrong with your brain? swali zingine. Kama angeafford kuishi hapo si ange hama kibera. grow up man.
we umepagawa.......mpaka waleta kota hapa....ha haaaa jiongeze wakenya halisi wapo kibera dando n.k......huko pengine foreigner ndiyo wanamiliki hizo kota
 
clearly haujui apartment ni nini. Hizo nyumba ni tofauti zote, na ziko kwa parcels of land different. ata macho hauwezi tumia.
we kweli ni mpuuuzi hizi ndiyo nyumba zilizo tofauti.......unaleta kota hapa hafu waja kupiga kelele na ulichonifurahisha .....ni mibanda hiyo hiyo .......tu ila picha zimepigwa engo tofauti tofauti we kweli wa kibera ......inamaana kenya hamna nyumba zaidi ya hizo kota .....a k a restaurant....

na isitoshe nyumba za mtindo huo hata huku dar zipo.....tena nyingi.....tu yaaan wew ni bogus eti watu wanauziwa inamaana wakenya woote mmeuziwa hizo nyumba...?.. na kama mmeuziwa je..idadi ya hizo nyumba ama kota zinaendana na population ya hapo nairobi ...?.. kama mtu kashindwa kujenga je nyumba ataweza kununua

acha upuuzi jitafakari

ba60ccb2b9a75c5c3e0dc2efcacc5f2c.jpg

e94e53668f53d04079112ac4718290a0.jpg

1c8ece0f1b7fb59166b7c1c9118631bd.jpg

24d63aea8e32ece6382682ee034d7add.jpg
 
Whatever. but the reality remains reality. Nairobi has the following attributes as compered to the poor Dar city
  1. She accommodates a vast numbers of industries
  2. She is visited by numerous tourists annually
  3. Nairobi has leading universities and schools in the region
  4. Best hotels with international standards
  5. well equipped with technology
  6. well trusted by investors
  7. the leading infrastructure in eastern africa is found in Nairobi
  8. social amenities like hospitals are found in Nairobi as compered to Dar
  9. stunning projects, both ongoing and proposed
naomba ukasome vzr uliyoyazungumza kaka😀😀😀😀😀😀
huna records sahihi
 
jamani tulichosema jana kitu ambacho watajing'ata ng'ata hawa washamba wa nairobi ni hiki mzee KAMBALANICK kaja na kota zake...aiseeee hawa majamaa wakikenya wanaficha mazingira yao asilia ......mpaka najiuliza inamaana nsirobi nzima hizi ndiyo nyumba zilizopo na wakenya woote inamaaana wanaishi nyumba dizain hyo za kota.....kiukweli jibu ni hapana KAMBALANICK kajikanyaga kanyaga mwisho wa siku ....karudi kulekule kaleta nyumba za makundi kama hostel au restaurant hebu tizameni
035c65bbfa52d7df20a591d44de14ea1.jpg
1c5c12bc4a9067f1d9dc237e3b6a6abd.jpg
8c5b3431e92a9c379b8c5b555f9f0b2c.jpg
0d6a14954c83ddc54c53b16e1fff4f23.jpg
 
Well said. hata vast cities na big cities in the world kama vile Shanghai, beijing, Tokyo, Sydney, London, New york, Paris, Las vegas, Los Angeles na nyingine nyingi watu wanaishi kwenye appartments, hutakuta mwehu kajenga kibanda chake kama ilivyo dar.
Mji kuwa na vibanda vingi ni kukosa utaratibu wa Real Estate. Poor town planning ni moja ya sababu viwanja dar ni very cheap, hata machinga na wavuvi wananunua na kumiliki viwanja.
Ukiwa dar uanfanya kazi yeyote au biashara, au hata kulima bustani ukashindwa kumiliki kiwanja basi hakika wewe ni hohehahe kabisa, maskini wa kutupwa. Dar kiwanja cha kujenga nyumba unapata hadi kwa USD 1500. What a poor city!
Kwa kufuata mipango miji, dar ni mwanafunzi tu kwa Nairobi. bila town planning kila mtu atajijengea atakavyo tu. dar ni moja ya miji ambayo iko poor planned.
Jiji kuwa na vibanda vinavyomilikiwa na watu binafsi si kulifanya liwe kubwa au zuri. Miji mizuri kama Rome (italy), Budapest, Amsterdam, venice na mingine mingi ina majengo ambayo ether ni Public owned au ni multi storey.
Haiingii akilini leo tuupime mji na kuuona uko juu kisa tu kuna wendawazimu wanamiliki vibanda vyao binafsi. Ingekuwa ndo hivyo basi miji kama Mogadishu ingeongoza. Miji ya kisasa haijengwi kwa kujaza vijibanda tu kama kwa wafuga kuku.
Pengine dar wanamudu kujenga vibanda vyao,, lakini kiuhalisia vinafaa kufugia kuku na bata tu.
poor dar The 10 Poorest Cities in the World
kaka inaonesha wewe huna record na fact sahihi wanaoishi kwenye apartments kwa nchi ulizozitaja hapo juu ni foreigners wanaotoka asia,africa, na kwengine kote....watu humiliki nyumba zao wenyewe wa kila level na pia mpaka wasanii wacheza mpira na wengineo humiliki nyumba zao......common people in nairobi hawawez kumiliki nyumba kwasababu gvt yao haiwapi support kwenye mambo ya ardhi na vifaa vya ujenzi, e.g ardhi kenya ni ghali sana kwasababu haimilikiwi na serekali na pia ukifatilia oil pipeline ya uganda ilishindwa kupita kenya moja ya sababu ni ardhi ghali ikaongeza cost kubwa mpaka kufkia 4 billion $ wakat tanzania ni njia ndefu lakini watapitisha kwa cost of 3.5 billion $, vifaa vya ujenzi ni ghali sana kenya mfano cemnet 50kg kenya ni 770 ksh wakat cement 50kg tanzania ni 350 ksh inclisive vat of 18%...
sijakwambia sand au aggregates ndio kabisa ni sawa na bure, eg sand in dar, each ton plus transport is 500ksh and aggregates ni 950ksh per ton inclusive transport and vat wakat nairobi sand and aggregates hizo hapo
Construction Materials cost. 2016. Nairobi, Kenya.
by Arch. Francis Gichuhi Kamau. on March 3, 2016 in A4architect0 Comments
Current market prices.Nairobi, Kenya

Sand
fine sand.1800 per ton
medium sand2600 per ton
coarse sand 2100 per ton
aggregate 2200 per ton
dust 1200 per ton
 
ndiyo maana tunakuambia wew umeivamia hii thread unajifanya umeifuatilia wakati hata maada zako hazina nyuma wala mbele vitu vishazungunzwa hivyo....kitaaambo bora ulale tu
 
kaka inaonesha wewe huna record na fact sahihi wanaoishi kwenye apartments kwa nchi ulizozitaja hapo juu ni foreigners wanaotoka asia,africa, na kwengine kote....watu humiliki nyumba zao wenyewe wa kila level na pia mpaka wasanii wacheza mpira na wengineo humiliki nyumba zao......common people in nairobi hawawez kumiliki nyumba kwasababu gvt yao haiwapi support kwenye mambo ya ardhi na vifaa vya ujenzi, e.g ardhi kenya ni ghali sana kwasababu haimilikiwi na serekali na pia ukifatilia oil pipeline ya uganda ilishindwa kupita kenya moja ya sababu ni ardhi ghali ikaongeza cost kubwa mpaka kufkia 4 billion $ wakat tanzania ni njia ndefu lakini watapitisha kwa cost of 3.5 billion $, vifaa vya ujenzi ni ghali sana kenya mfano cemnet 50kg kenya ni 770 ksh wakat cement 50kg tanzania ni 350 ksh inclisive vat of 18%...
sijakwambia sand au aggregates ndio kabisa ni sawa na bure, eg sand in dar, each ton plus transport is 500ksh wakat nairobi sand ni bei mbaya sana ni 1800ksh per ton and am not sure kama transport included
huyo kilaza .......usipate tabu ya kumuelekeza....ni mmoja kati ya wale omba omba kwa pale nairobi......haelew kitu huyo
 
Kwa kufuata mipango miji, dar ni mwanafunzi tu kwa Nairobi. bila town planning kila mtu atajijengea atakavyo tu. dar ni moja ya miji ambayo iko poor planned.

how losers are comforting themselves during a tight situation.

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
bee9acb250cfa23a60822779b2f29490.jpg
54d832aeb7bf73ffed634614c8c6ecba.jpg
1feec153005389ab9252aceeb89309d6.jpg
b08952009700b714a8ed296aa5e8bb7e.jpg
10c995eba990cb64d3577d5116fd665f.jpg
37030f9b0e334cbf3d68798396dea1e6.jpg
4e2dec73a02488d9abc9ff044f6be6f9.jpg
b091564f6ff28bdad3daadc998a27a53.jpg
6218a4aeda3da2c0a06fb38b0d536d57.jpg
7d684817e36d23a14e6a4ad4e5d0e166.jpg
fef662218fc0ed017999b3c87fb716c3.jpg
008c92be0d478049d990ab96e5213d82.jpg
222d4384fbeaa0b3233578db5ec0be01.jpg
34c96acf61a3fad2130755edca1ac336.jpg
b8f837ef90f4d9c80b10c366b716b4d0.jpg
d71d1e196eb715c41210842d0138530a.jpg
 
Well said. hata vast cities na big cities in the world kama vile Shanghai, beijing, Tokyo, Sydney, London, New york, Paris, Las vegas, Los Angeles na nyingine nyingi watu wanaishi kwenye appartments, hutakuta mwehu kajenga kibanda chake kama ilivyo dar.
Mji kuwa na vibanda vingi ni kukosa utaratibu wa Real Estate. Poor town planning ni moja ya sababu viwanja dar ni very cheap, hata machinga na wavuvi wananunua na kumiliki viwanja.
Ukiwa dar uanfanya kazi yeyote au biashara, au hata kulima bustani ukashindwa kumiliki kiwanja basi hakika wewe ni hohehahe kabisa, maskini wa kutupwa. Dar kiwanja cha kujenga nyumba unapata hadi kwa USD 1500. What a poor city!
Kwa kufuata mipango miji, dar ni mwanafunzi tu kwa Nairobi. bila town planning kila mtu atajijengea atakavyo tu. dar ni moja ya miji ambayo iko poor planned.
Jiji kuwa na vibanda vinavyomilikiwa na watu binafsi si kulifanya liwe kubwa au zuri. Miji mizuri kama Rome (italy), Budapest, Amsterdam, venice na mingine mingi ina majengo ambayo ether ni Public owned au ni multi storey.
Haiingii akilini leo tuupime mji na kuuona uko juu kisa tu kuna wendawazimu wanamiliki vibanda vyao binafsi. Ingekuwa ndo hivyo basi miji kama Mogadishu ingeongoza. Miji ya kisasa haijengwi kwa kujaza vijibanda tu kama kwa wafuga kuku.
Pengine dar wanamudu kujenga vibanda vyao,, lakini kiuhalisia vinafaa kufugia kuku na bata tu.
poor dar The 10 Poorest Cities in the World
Povu jingi ukimaliza unarudi kwenye dormitory ulipo panga
Ndio maana takwimu zinasema Kenya inaongoza wanaume kupigwa na wake zao ,hamjitumi mkajenga nyumba mnabaki kwenye dormitory za wanaume wenzenu
 
kaka inaonesha wewe huna record na fact sahihi wanaoishi kwenye apartments kwa nchi ulizozitaja hapo juu ni foreigners wanaotoka asia,africa, na kwengine kote....watu humiliki nyumba zao wenyewe wa kila level na pia mpaka wasanii wacheza mpira na wengineo humiliki nyumba zao......common people in nairobi hawawez kumiliki nyumba kwasababu gvt yao haiwapi support kwenye mambo ya ardhi na vifaa vya ujenzi, e.g ardhi kenya ni ghali sana kwasababu haimilikiwi na serekali na pia ukifatilia oil pipeline ya uganda ilishindwa kupita kenya moja ya sababu ni ardhi ghali ikaongeza cost kubwa mpaka kufkia 4 billion $ wakat tanzania ni njia ndefu lakini watapitisha kwa cost of 3.5 billion $, vifaa vya ujenzi ni ghali sana kenya mfano cemnet 50kg kenya ni 770 ksh wakat cement 50kg tanzania ni 350 ksh inclisive vat of 18%...
sijakwambia sand au aggregates ndio kabisa ni sawa na bure, eg sand in dar, each ton plus transport is 500ksh and aggregates ni 950ksh per ton inclusive transport and vat wakat nairobi sand and aggregates hizo hapo
Construction Materials cost. 2016. Nairobi, Kenya.
by Arch. Francis Gichuhi Kamau. on March 3, 2016 in A4architect0 Comments
Current market prices.Nairobi, Kenya

Sand
fine sand.1800 per ton
medium sand2600 per ton
coarse sand 2100 per ton
aggregate 2200 per ton
dust 1200 per ton
 
Whatever. but the reality remains reality. Nairobi has the following attributes as compered to the poor Dar city
  1. She accommodates a vast numbers of industries
  2. She is visited by numerous tourists annually
  3. Nairobi has leading universities and schools in the region
  4. Best hotels with international standards
  5. well equipped with technology
  6. well trusted by investors
  7. the leading infrastructure in eastern africa is found in Nairobi
  8. social amenities like hospitals are found in Nairobi as compered to Dar
  9. stunning projects, both ongoing and proposed

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
21929c100bdf69950b87de17b5063910.jpg
328546a563da46dd81e600a479bfc2da.jpg
a4ac81b8433c5d34331ff037879e9483.jpg
59ae4e0cb1a45884ec4778c823f9507c.jpg
bec416e0379597c31bcd5108979e8b48.jpg
468e107a72c98e954bdcfda9b1b6decb.jpg
5dc9492185f4e6f880afa3148745d9d8.jpg
529e1c4c549f811bb59ef56c1cdefeec.jpg
557efa5fedf67c53c6aa344c4375c5ca.jpg
8944a9c6e6c9487d37b8312b04960cd2.jpg
61b30d08cfa291550f3e4386940bf96c.jpg

more photos are coming. stay tuned.
 
If this is how Tanzanians argue then education is important.... Nigerians and south Africans always argue based on facts but this guys are personal

Back
Top Bottom