Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

safi sana hawa majamaa wakikenya ...aisee bora mimi nisingekuwepo kwa hii thread ....kwani nitawapa shombo mwanzo mwisho wakijikweza tu ninao.....wakenya ni wapuuzi....
 
When Nairobi goes full glass
wewe MZEE WA IQ acha ushamba .....hii dunia na sisi ndiyo yutakufunza......hauna
......maarifa kimantiki ila jiongeze .....na mlete houses za wakenya wote hapo nairobi na msilete surburb mpo so ....huzuni...nawahurumia ....na mda si mrefi nitaivamia mitandao yenu kisha soon i will be a star.......na hamtonigundua
 
tulicopy vp wakat south Africa sisi ndio tumewapa uhuru .....😀😀😀😀😀 Tanzania got independence 1961 south Africa 1994...
huyo jamaa ni pumba .....hawajui kama hata chanzo cha kupata wao uhuru pia ni TZ inahisika ...kweli wakenya ni konokono ...hivi kwanin hawajiulizi kwanini Tanzania haina tabaka la kuchukiwa hapa africa na dunia nzima tofauti na wao...

wakenya ni mwadogo zetu na mtabaki kuwa wadogo zetu au vip
 
nimegundua kuwa wewe ni mtanzania mwenzangu, lakini pia ni mgeni hapa kenyaforum.hivyo basi kwa kuwa mimi ni mwenyeji mzoefu hapa KF,nachukua fursa hii kukukaribisha rasmi,karibu sana.


nita kujibu kiustarabu ili kuweka record sawa lakini nitaomba ujibu maswali yangu kwa kuambatanisha na ushahidi.
(tatizo la hapa kenyaforum hatu-comment kisiasa almrad tu,lazima uweke ushahidi kidogo wa either link au picha/screenshot).

ni wapi ulitoa huo mtizamo.Je kuna tafiti yoyote iliyofanywa na taasisi inayotambulika ikadai kwamba mji wenye tenant wa kudumu ndio mji ulioendelea sana?.ushahidi ktk hili please.

kwa hiyo nairobi imeendelea kuzidi dar kwasababu watu wake wengi ni tenants?.ushahidi please.

ni sababu gani iliyosababisha nairobi yenye house tenant wengi kushinda dar ikawa na slums kubwa east africa na africa kwa ujumla.majibu na ushahidi tafadhali

kwa hiyo kwa mtazamo wako wewe,kuishi kwenye nyumba ya kupanga ni fahari na nafuu zaidi kuliko kuishi kwenye nyumba yako binafsi?.

tuanzie kwanza hapo halafu tuendelee na mjadala.

NB.
wakati unatafakari maswali yangu,naombe usome/utazame kwa umakini hii screenshot hapa chini.
 
je wew waishi huko.....je babu zako na wazazi wako wapo hapo....je wew ni mwanafunzi mpaka huishi kwenye hizo nyumba mfanano za boss moja je nyumba za mkenya mmoja mmoja mmeziweka wapi...je hivi wakenya nyie ni njaa kiasi hicho.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya homeless na tenancy life. Pia tofautisha kuishi kwenye slums na kuishi kwenye nyumba yako. Mara nyingi slums sio nyumba za kudumu, so usizihesabu kama ni nyumba. wanaoishi kwenye slums hawatakiwi kuitwa tenants au landlords. Bila shaka nimejibu maswali yako
 
bado tu waleta apartment za kijiji.....zinazofanana na kumilikiwa apartment na mtu mmoja.....jiongeze wakenya asilia hawaishi kwa hizo apartment coz hawana pesa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
sasa wakae wakijua hiyo ndiyo tofauti baina ya wao na sisi kenya ni maskini sana ila pepa zawachanganya 90% ya apartment zao unaweza kuta nyumba 20 lakini anayemiliki ni boss mmoja ....wakenya wengine wote waliobaki ni maskini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama haya ndio majibu yako,basi asante.

angalau nimejua mapema kuwa wewe ni mtu wa level gani.kumbe ningepoteza nguvu zangu bure.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
 
kama haya ndio majibu yako,basi asante.

angalau nimejua mapema kuwa wewe ni mtu wa level gani.kumbe ningepoteza nguvu zangu bure.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
Usitumie nguvu. Ongea kwa hoja
 
Usitumie nguvu. Ongea kwa hoja
rudi hapa,jibu hoja zangu kwa ufasaha halafu tutiririke vizuri. usijibu kibashite bashite kama mtoto wa darasa la kwanza.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
rondom photos of private houses owned by common citizens of dar es salaam.
 
ona sasa hizo hostel mnazoleta kuwa na akili....hiyo ni mali ya mtu mmoja na si mmoja mmoja......huko kapuku kama wewe hauwezi ishi na huku dar zipo izo sema hatujawaonyesha kwa maana twahitaji maisha ya uasilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…