ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Very nice haya tuoneshe nn tatizo la hio pic baada ya kuzoom😀😀😀😀Hata hii pia tutarudisha tulipoitoa 😂 😂 😂 View attachment 1342627
Very nice haya tuoneshe nn tatizo la hio pic baada ya kuzoom😀😀😀😀Hata hii pia tutarudisha tulipoitoa 😂 😂 😂 View attachment 1342627
But dar hakuna slum Nairobi zipo hio ndio point muhimu umesahau😀😀😀😀For any old city, it's very difficult to be well organized throughout its coverage especially African cities. Nairobi is organized in some areas also Dar is organized in some areas. The case is in which states are the disorganized areas!
Tutafika huko bro coz tumepeleka vitu kwa speed sana within short period of time but time will tellTo be fair nadhani wangeboresha ununuaji ticket kwanza uendane na rehabilitation ya reli! Hizi hela za kuchapisha majarida huu mpango umekaa ki-propaganda na haiingii akilini wakati internet ipo watu kwenye simu za viganja wanapata taarifa! Kimaoni yangu wangeweka kidau (a sort of competition) watu wa Kinuhub waje na apps za kufa mtu kurahishisha upangaji wa safari kutokea kwenye simu yaani searching for a train na hata ununuaji wa ticket kwa kupitia bank cards na simu!
Digital era imewaacha hawa jamaa instead of building a serious network with serious infrastructure with strong data center kama watu wa DART wanavyojitahidi nashangaa mpaka leo lazma mtu apange foleni kununua tiketi especially kipindi cha Xmas! Hii maneno imeni-bore kweli! Halafu tunalalamika our TRCA data center is underutilized! BTW hii page yao imekaa kishamba sana 👇
Masanja ananiangusha angeunganisha nguvu na hata wataalamu wa TTCL! Mkongo upo mtu ata aweze kupata ontime information ya cancellations ama delays! Huu ni upotezaji wa fedha TRC na ATCL need to wake up n see nchi zilizoendelea zinafanya nn! Usafiri wa treni Dar ule wa Pugu-Station na Ubungo Maziwa-Station sidhani kama kuna uwezekano wa kulipia month tickets ama kuna vituo vyenye platform za kuridhisha na sehemu za kujikinga na mvua ama toll gates za kulipia kama toll gates za NSSF Kigamboni bridge ama za DART! wangekuwa fasta they should be thinking of some apps za ku-swap na kulipa kwa simu na kuingia kwa gates kwa kutumia mobile money payment system! fastjet walijitahidi!
Wawatumie watu kama hawa 👇
![]()
And here comes Tanzania’s newest billionaire
At 35 years, Andron Mendes has become Tanzania’s latest billionaire with a big dream to change the lives of millions of people in Africa.www.thecitizen.co.tz
Only about 10% of Dar is organized. The rest is made up of dream houses thrown out in every available space in the most disorganized mannerFor any old city, it's very difficult to be well organized throughout its coverage especially African cities. Nairobi is organized in some areas also Dar is organized in some areas. The case is in which states are the disorganized areas!
Mungekuwa mnazileta tunaona at least three sides of those house ingejulikana, but what we see now its just top view wala hatuoni kitu kingineUjinga wa kuzaliwa ni pale mtu anapoita hizi changaduo dream houses View attachment 1342637
😂 😂 😂 Wanatamani Sana iwe ya Tanzania. At this rate, usishangae wakisema hata KCB Na National bank sio za Kenya
When? If Samatta transfer imeishtua Aston villa homepage yao imepata additional 9 mln clicks! What does that mean? Hamna sababu ya ku-print magazeti! waboreshe website! Watanzania wengi wako online!Tutafika huko bro coz tumepeleka vitu kwa speed sana within short period of time but time will tell
Unataka aerial photo ionyeshe hadi ndani ya nyumba? What a stupid argument!Mungekuwa mnazileta tunaona at least three sides of those house ingejulikana, but what we see now its just top view wala hatuoni kitu kingine
Hapo umezidisha chumvi, the disorganized areas in Dar es salaamu ni makazi ya zamani tu that's what we see kwenye paa zina jizihirisha, lakini pia Nairobi kuna slum nyingi kweli zinaondoa sifa ya kusema mji umepangikaOnly about 10% of Dar is organized. The rest is made up of dream houses thrown out in every available space in the most disorganized manner
Dar is slumTatizo husemi jina la slum yenyewe tuijue 😟
Unaanza kupanic tena, the logic behind nataka ulete lower oblique photo tuoneUnataka aerial photo ionyeshe hadi ndani ya nyumba? What a stupid argument!
Hawezi never ever utamkimbiza sasa hviUnaanza kupanic tena, the logic behind nataka ulete lower oblique photo tuone
Huwa nawauliza wenzako kuhusu makazi out of Estates na slums hawajawahi jibuDar is slum
Ndio maana huwa tunasema kwamba sehemu Kama hizo za Dar are only found in slum areas huku Nairobi. Ukitoka nje ya slums huwezi kutana na sehemu kama hizo za Dar, hata utembee hadi wapi. Below is South C for instance, a very normal estate in Nairobi for lower middle income earners. Compare that with your dream houses that cover three-quarters of your cityHapo umezidisha chumvi, the disorganized areas in Dar es salaamu ni makazi ya zamani tu that's what we see kwenye paa zina jizihirisha, lakini pia Nairobi kuna slum nyingi kweli zinaondoa sifa ya kusema mji umepangika
Sielewi swali lakoHuwa nawauliza wenzako kuhusu makazi out of Estates na slums hawajawahi jibu
Why Not beat This ugly new Kenyatta Airport first?
View attachment 1340860View attachment 1340861View attachment 1340862
Nairobi terminus can beat your new Nyerere airport