Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

westy
tapatalk_1574280882806.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be fair nadhani wangeboresha ununuaji ticket kwanza uendane na rehabilitation ya reli! Hizi hela za kuchapisha majarida huu mpango umekaa ki-propaganda na haiingii akilini wakati internet ipo watu kwenye simu za viganja wanapata taarifa! Kimaoni yangu wangeweka kidau (a sort of competition) watu wa Kinuhub waje na apps za kufa mtu kurahishisha upangaji wa safari kutokea kwenye simu yaani searching for a train na hata ununuaji wa ticket kwa kupitia bank cards na simu!

Digital era imewaacha hawa jamaa instead of building a serious network with serious infrastructure with strong data center kama watu wa DART wanavyojitahidi nashangaa mpaka leo lazma mtu apange foleni kununua tiketi especially kipindi cha Xmas! Hii maneno imeni-bore kweli! Halafu tunalalamika our TRCA data center is underutilized! BTW hii page yao imekaa kishamba sana 👇


Masanja ananiangusha angeunganisha nguvu na hata wataalamu wa TTCL! Mkongo upo mtu ata aweze kupata ontime information ya cancellations ama delays! Huu ni upotezaji wa fedha TRC na ATCL need to wake up n see nchi zilizoendelea zinafanya nn! Usafiri wa treni Dar ule wa Pugu-Station na Ubungo Maziwa-Station sidhani kama kuna uwezekano wa kulipia month tickets ama kuna vituo vyenye platform za kuridhisha na sehemu za kujikinga na mvua ama toll gates za kulipia kama toll gates za NSSF Kigamboni bridge ama za DART! wangekuwa fasta they should be thinking of some apps za ku-swap na kulipa kwa simu na kuingia kwa gates kwa kutumia mobile money payment system! fastjet walijitahidi!

Wawatumie watu kama hawa 👇

 
Definitely looks better and orderly than Dar es Salam. I underestimated Goma

Sent using Jamii Forums mobile app
For any old city, it's very difficult to be well organized throughout its coverage especially African cities. Nairobi is organized in some areas also Dar is organized in some areas. The case is in which states are the disorganized areas!
 
Back
Top Bottom