Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀😀😀😀😀😀😀 kaniekea international school mbili na mabanda ya kuku mawili alaf hakurudi tena tuendeleaa basi maneno mengi ya nn😀😀
una wazimu.....enda ujibambe..shule zote umeeka hakuna yenya hadhi ya international school ata moja
 
Hii inakaa kastemil kindergarten ile ya kasarani yawa....
b8d73edab5470c329371e9d3a582f66c.jpg
 
una wazimu.....enda ujibambe..shule zote umeeka hakuna yenya hadhi ya international school ata moja
Kwakwakwa rudi nyuma nenda ukaangalie vzr😀😀😀😀 hasira za nn sasa ule muda wakujiona superior umeisha 😛😛
 
hahahaaa man...ati hii ni international school.haifiki ata kwa jonathan gloag na loreto convent valley road...vi primary school.wanatia aibu
Hio sio international school kaka hio ni shule ya government, inaitwa mbezi secondary school international school nimeweka rudi nyuma page 879 na 880 😀😀😀😀
Usichange motion...usijifanye hujaelew
 
Hio sio international school kaka hio ni shule ya government, inaitwa mbezi secondary school international school nimeweka rudi nyuma page 879 na 880 😀😀😀😀
Usichange motion
hahaaa....ebu itoe inawatia aibu bana
 
Hii academy iko kasarani ndio international school ya bongo yawa.....
Good hope academy in kasarani
44fe22e0f69e7fc108732389bd31b3b9.jpg
 
Those are finishing stones known as ledgestones. You don't paint ledgestones. These types of finishes are actually very expensive and classy in comparison to paint. Kweli Wabongo washamba. Hawa ni wale huenda hoteli wakipewa salad wanazusha eti wamewekewa mboga mbichi. Bongolala mshamba.
Acha kujifariji izo zote ni tofali ,na mmrshindwa kupiga plaster na cement na rangi mmeshindwa Hayo majengo walioshindwa kupaka rangi Nairobi yamejaa sana
Sema kweli cement na rangi ni ghali sana
 
Back
Top Bottom