Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu nioneshe hizo zenu zenye tofali za kuchoma maana Tanzania wanajengea mabanda ya kuku kwa tofali za kuchoma...nioneshe plz
brookehouse.jpg

compare huo ujinga umeeka apo ni hii...mnatia aibu
 
Tanzanians wekeni shule zinakaa a bit classic with manicured lanes....good architecture and landscape. ..si hizi highrise schools kama za eastlands. ...
 
Munarudia majengo hayo wakat nishawaekea picha mbadala wake....saedeque vp????
ati imerudiwa...ebu niambie ilikua shule gani tuone kama iliwekwa?hiyo iko rachuonyo my friend,haijawekwa hapa.kwa mashule mko down tena sana
 
ati imerudiwa...ebu niambie ilikua shule gani tuone kama iliwekwa?hiyo iko rachuonyo my friend,haijawekwa hapa.kwa mashule mko down tena sana
😀😀😀😀😀😀 iko which city????
Mbona unahasira sana hahahha maana sijaona mkiniekea shule za tofali za kuchoma...zikwapi
 
ati imerudiwa...ebu niambie ilikua shule gani tuone kama iliwekwa?hiyo iko rachuonyo my friend,haijawekwa hapa.kwa mashule mko down tena sana
Hehehe leteni highrise schools hizo kama za eastlands pia tutakubali tu...we are exploring each other's cities virtually. I have posted like 20 schools in Nairobi. ...I think so.
 
😀😀😀😀😀😀 iko which city????
Mbona unahasira sana hahahha maana sijaona mkiniekea shule za tofali za kuchoma...zikwapi
waah...ichoboy unashida kweli...i was quite clear iko rachuonyo.ama hukusoma..man give up plz.hamna shule
 
Hehehe leteni highrise schools hizo kama za eastlands pia tutakubali tu...we are exploring each other's cities virtually. I have posted like 20 schools in Nairobi. ...I think so.
hahaaa..relax man.....nlikua najibu ichooboy.tuko pamoja
 
There's is more to a building than just being a highrise building. .....I want a school which exudes royalty from bongo......
 
Kwani hio story haiishi ?, wakenya ni kusifu Nairobi tuu utadhani majumba yale in yao. In nyumba za wasomali na wasouth sudan. Mkenya yupi hapo kazi kusifu visivyo vyao
 
Back
Top Bottom