saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,170
- 1,356
compare and contrast😀😀😀😀 wakenya Leo mmenifurahisha sana
Mumekua wakali daaah
a school in bongo
a school in kenya
compare and contrast😀😀😀😀 wakenya Leo mmenifurahisha sana
Mumekua wakali daaah
Kasome page za nyuma nilipoanza kukujibu😀There's is more to a building than just being a highrise building. .....I want a school which exudes royalty from bongo......
man,hahaaa...go hug a transfomer in the streets of kariakor and never let it go,,Kwani hio story haiishi ?, wakenya ni kusifu Nairobi tuu utadhani majumba yale in yao. In nyumba za wasomali na wasouth sudan. Mkenya yupi hapo kazi kusifu visivyo vyao
Hukuiona hio😀😀😀😀compare and contrast
a school in bongo
![]()
a school in kenya
![]()
nmekwambia rachuonyo..mara ya tatu nakujibu.hujui kusoma leo au yamekufikia ya shingo...heheeNijibu saedeque iko which city tafadhali 😀😀😀😀😀😀😀😀
Nijibu swali langu wacha kuzuga iko which city????????😀😀😀😀😀😀man,hahaaa...go hug a transfomer in the streets of kariakor and never let it go,,
Rauchonyo iko Nairobi????????nmekwambia rachuonyo..mara ya tatu nakujibu.hujui kusoma leo au yamekufikia ya shingo...hehee
Umewashwa sana hapo na wivu mobKwani hio story haiishi ?, wakenya ni kusifu Nairobi tuu utadhani majumba yale in yao. In nyumba za wasomali na wasouth sudan. Mkenya yupi hapo kazi kusifu visivyo vyao
hahaaa..compare and contrast ./.
Hahahhaha patamu hapo Leo sio Tanzania ileeee..unajifanya kuandika a best school in bongo vs school in Kenya.....hahhaha ujanja wakizamanihahaaa..compare and contrast ./.
the best school in bongo
![]()
![]()
a school in kenya
![]()
hahaaa....msee kwa shule mko down mbaya.tafuta kitu kingineHahahhaha patamu hapo Leo sio Tanzania ileeee
Hii ndio Tanzania mpya wenye kuangalia watasema😀😀😀😀
my friend...naeka shule mimikama unataka za nai umeekewa zaidi ya 10Rauchonyo iko Nairobi????????
Akili ushapata nafkiri na mm nataka ufute ile kitu ya 90s kwenye kichwa chako....shule za Nairobi zimezidiwa mpaka umeanza kuleta shule za nje ya Nairobi hahahhaahha bongo hiiihahaaa....msee kwa shule mko down mbaya.tafuta kitu kingine
Kwakwakwa ameeka 10 zikwapi???????😀😀😀my friend...naeka shule mimikama unataka za nai umeekewa zaidi ya 10
Google ikusaidie piaAnyone with photos za peponi school...?Naonanga tu sign post na barabara to the school
you are insane..umeekewa kenya high,alliance boys,alliance girls,sunshine,starehe...ukaekewa ma international schhols.kajipange uje tenaKwakwakwa ameeka 10 zikwapi???????😀😀😀
Kaeka mbili kakimbia rudi page za nyuma usijitie umesahau
😀😀😀😀😀😀😀 kaniekea international school mbili na mabanda ya kuku mawili alaf hakurudi tena tuendeleaa basi maneno mengi ya nn😀😀you are insane..umeekewa kenya high,alliance boys,alliance girls,sunshine,starehe...ukaekewa ma international schhols.kajipange uje tena