Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo lako saedeque nilishawah kukwambia unchofkiri wewe sio uhalisia wa sasa hvi tanzania
😀😀😀
utapagawa sana but huo ndio ukweli wa mambo....nlisomea huko na wabongo wengi sana.we bisha tu
 
Ulisomea maana yake it was past.....am talking of dar es salaam ya sasa kaka...utaelewa tu usijali
dar es salaam imetokea wapi....juzi nlkua kenya high na still vidada vya kibongo vipo vingi sana.kule taita nlidhani ni kwa sababu ziko karibu na tz.haya huku kenya high Nairobi nako nashindwa kuelewa?
 
Tusiime secondary school bongo
23857.jpg
2013-01-16-14.40.jpg
 
dar es salaam imetokea wapi....juzi nlkua kenya high na still vidada vya kibongo vipo vingi sana.kule taita nlidhani ni kwa sababu ziko karibu na tz.haya huku kenya high Nairobi nako nashindwa kuelewa?
Ujue mm sikuelew hata unachoshindania ni nn maana mada ilikua shule tunawaekea shule munaanza mengine tena nn shida sasa???
😀😀😀😀😀😀
 
Ujue mm sikuelew hata unachoshindania ni nn maana mada ilikua shule tunawaekea shule munaanza mengine tena nn shida sasa???
😀😀😀😀😀😀
unajua shida nni,,ama unataka nkuregeshe nyuma uijue...
 
Weka shule zilizo pigwa rangi ,hizo ambazo ata rangi wameshindwa kupiga zipotee zina leta shame kwa Taifa

Those are finishing stones known as ledgestones. You don't paint ledgestones. These types of finishes are actually very expensive and classy in comparison to paint. Kweli Wabongo washamba. Hawa ni wale huenda hoteli wakipewa salad wanazusha eti wamewekewa mboga mbichi. Bongolala mshamba.
 
😀😀😀😀 mumetata shule mumeletewa bado munakua wakali......wachina wangapi wamejaa kwenye shule na vyuo vya tanzania wanasoma....
kumbe ulikua unajua shida nni alafu unajitia hamnazo...basi eka picha za maana.hivi ni vitu gani sasa
60363-png.515652
 
kumbe ulikua unajua shida nni alafu unajitia hamnazo...basi eka picha za maana.hivi ni vitu gani sasa
60363-png.515652
Hebu nioneshe hizo zenu zenye tofali za kuchoma maana Tanzania wanajengea mabanda ya kuku kwa tofali za kuchoma...nioneshe plz
 
Back
Top Bottom