Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli nimeona shule wameziweka apa ni aibu kubwa shule ata Ku afford kupaka rangi wameshindwa naona rangi na cement Kenya zitakuwa bei mbaya sana
Huwezi paka rangi tofali ya kuchoma kwasababu tofali ya kuchoma hata ukipaka rangi inakaa tofali ya kuchoma haileti picha nzuri..hawawez jenga shule kwa cement blocks kwasabbu cement bei mbaya sana kenya
 
Hao warembo hupata alama ya A kama wote...moto kama pasi. Halafu ile yenye inaitwa Kenya high pia ni ya wasichana....hiyo ni mini-London in terms of diet and everything. Hadi hot shower. ....back in primary every girl in our class dreamt of joining The Kenya High lakini ni mmoja alifaulu...hehehe
ha haa
.......hapo sawa
 
Maryhill girls
687cd5f0f1a32c52eb09d17b1ca95c7c.jpg

eb440bff89872e8cbeb6ba809010f400.jpg
Feza girls secondary school bongo
buildings.jpg
85102158.jpg
 
Hiyo feza ndio inakaa a standard high school.It's quite something I must admit
 
Weka shule zilizo pigwa rangi ,hizo ambazo ata rangi wameshindwa kupiga zipotee zina leta shame kwa Taifa
dude ungekuwa unaelewa royalty hungetoa comment lame ivo. that school looks like a palace or castle
 
Back
Top Bottom