tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Umejipa muda wakufikiria kabla ya kuhara lakini?icho ni kitega uchumi kwa siku wanakusanya tsh 40-50MillionsUnaogopa ukweli....kuna vitu si viable....stand ya bus inafaa kuwa very simple sasa iyo nyumba yote niya mini haswa???
Kuna office 44 za bus maduka makubwa 26 M madogo 19...kuna restaurant na sehemu yakupata vinywaji baridi pia...wakati unasubiri usafiri unakaa sehemu nzuri sasa wewe ponda kwavile nyie Hamna me nilitegemea ungesupport kumbe boga
