wivu unakuwasha sana. Huoni hiyo barabara inapanuliwa amaMakumbusho haina uzuri wowote bado inahitaji upgrade ya Hali ya juu ukitoa hizi gorofa mbili tatu makumbusho hamna kitu.View attachment 1327119
Sent using Jamii Forums mobile app



lakini hata kwa google earth daresalaam ni ujinga tu
Weka Hadi stendi ya makumbusho nyuma ya hayo majumba ambayo umeweka make up,ama unataka nikuaibishe?
Sent using Jamii Forums mobile app
wivu unakuwasha sana. Huoni hiyo barabara inapanuliwa ama
Hapo makumbusho pia ni mahali pa kujivunia? Hamna Cha wivu Wala Nini? Hua napenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mana tangu iingie madarakani mambo mengi yaliyoonekana hayawezekani leo hii yamekuwa ya kawaida mfano



Nmeisave hii comment yko miez michache ijayo ntakukumbushaMakumbusho haina uzuri wowote bado inahitaji upgrade ya Hali ya juu ukitoa hizi gorofa mbili tatu makumbusho hamna kitu.View attachment 1327119
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe kweli naziona hzo ghorofa mbili tatu za makumbusho... Roho mby mliyonayo hamtaacha kuchinjana suala la muda tu
Sijaelewa apa mkuu
Jamani mbona huna huruma!! 😂 😂 😂 😂Makumbusho haina uzuri wowote bado inahitaji upgrade ya Hali ya juu ukitoa hizi gorofa mbili tatu makumbusho hamna kitu.View attachment 1327119
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na chuki pamoja na wivu hamjaachana sana.Ccm sounds like when kenyans used to dread and worship Kanu without questioning
Sent using Jamii Forums mobile app