Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's Kibera, just 2.5 square kilometres big. Compare that with these dream houses that surround your entire city giving it no breathing space View attachment 1316103View attachment 1316105
Hii photo inakera na inatia aibu Dar,yaani hapa kuna kuna wizara ya mambo ya ardhi na town planning inapangiwa na bajeti sijui kazi yake huwa ni nini hasa
 
Hata siku moja akili ndogo haiwezi kuelewa yanayofanywa na akili kubwa, " That is the principle of nature". Kumuelewesha chizi utajipa kazi(Darassa)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hizo ndo akili kubwa elewa mwenyewe by the way sishangai maana ndio urithi ccm imewarithisha ndio maana ccm hawakoseagi na wala hawashauriki ila ndo hivyo tena hali inazidi kuwa tete pamoja na juhudi za akili kubwa
 
Of course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Hauna wewe na nani sasa?njaa ni yako usitujumuishe tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom