Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,943
- 27,900
Umekasirika tayar🤗🤗🤗
Unaeza fananisha na upuuzi unaopost🤗🤗👇👇
So now market inafananishwa na airport😀😀😀
😀😀😀😀😀 mwambie akupe linkWacha kuota ati largest in EA!
Leta official link kuthibitisha maneno yako nasubiria![]()
Wakati Tanzania ikiwa na tatizo la upungufu wa madarasa, lakini watoto wakikaa juu ya madawati, huko katika nchi ya "Failed state" na GDP ya kutengeneza, wanafunzi hata hawajawahi kuona dawati tangu wazaliwe.
Mwambieni akuoneshe machinjio ya Nairobi bro utazimia hapa😀😀😀😀😀Dar alone has over 10 of these structures!


Si Bora ya hao wamekalia dawati nzuri kabisa hawa je
Kisutu, Tandale, Magomeni, Buguruni, Mapambano, MWENGE, Temeke, Mbagala and Makumbusho markets, just few out of many?
Hizo zote ni za midomo. Without pictures all those are just like a wet dream.Kisutu, Tandale, Magomeni, Buguruni, Mapambano, MWENGE, Temeke, Mbagala and Makumbusho markets, just few out of many?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii project haina render tuanza kuiona mapema? Naona Tz inafunguka kila angle.
Si Bora ya hao wamekalia dawati nzuri kabisa hawa je👇👇👇👇👇👇