Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Source za magazeti ya Kenya ambayo yanaongoza kwa wivu dhidi ya Tanzania?.
Wewe umeona wapi "billboard" kuandika jina la "Financer" tofauti na aliyetoa pesa?, hivi unajua sheria za kimataifa katika miradi mbalimbali?. Unajua kwamba sheria inasema wazi wazi kwamba ukiandika tofauti basi ni sawa na kuvunja huo mkataba na unapaswa kumlipa fidia huyo "Funder?".

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Reuters ni Gazeti ya Kenya? 😂 😂 😂

Then there's nothing like "funder". I only know of financier
 
Fact ni hakuna nchi hapa EA ina pesa za kutosha za kujenga project ya zaidi ya $1b within a single year. Si ati pesa haziko benki but once you spend such mnapunguza cushion kutoka external economic issues na pia mnyanyima sector zingine za umuhimu hizo pesa. Kama waelewa biashara unajua huezi risk your financial armour on a gamble. Kama ni mambo ya mineral resources, the MGR would still serve efficiently. Same goes for imports which can still be efficiently served na road while at the same time opening up new areas along the roads for development. Kukimbia kwa Kenya na Eth kujenga SGR ilikuwa tu njia ya kuboost growth ya economy on the short run while hopping citizens will use the cash to build themselves at the same time attract FDI. Hiyo story ya SGR is more efficient bla bla bla ni porojo tu
Sema fact ni kenya haina pesa za kutosha kujenga project ya zaidi ya $1b na sio kusema eti hapa EA Hakuna nchi inayoweza kujenga...
Sasa mbona nyie mnakopa na bado sector zingine zinakwama?
Bila kusahau construction of giant hydropower dam ambao utakua fourth-largest in Africa and ninth in the world na itacost $3 billion yaani vitu visivyo wezekana kenya.,
Usisahau pia mauzo ya madini yameongezeka mara dufu.

mbona serikali ya Tanzania imenunua mpya na amount imezidi hizo $1bil . sema kenya walidiminate sector ya viwanda mda mrefu sasa upinzani umekua mkubwa East Africa hata omo walifunga kiwanda chao Dar es salaam.
ni mda wa competion sio kipindi cha nyuma wao ndio magiant wa viwanda. nasikia wanawazuia wafanyabiashara wao kuimport lato milk kutoka uganda. wakenya siku mambo yamebadrika

kitochi
 
Cc Naton Jr
IMG_20200112_124312_982.JPG
IMG_20200112_124302_272.JPG
IMG_20200112_124247_430.JPG
 
Tangu lini Tanzania ikawa a hub of anything in East Africa? Kenya got its broadband connectivity from United Arab Emirates in 2009 (google TEAMS).
 
Inauma sana but itabidi uugulie pole pole na hapo nimepost data za 2014 😂😂😂
 
Fact ni hakuna nchi hapa EA ina pesa za kutosha za kujenga project ya zaidi ya $1b within a single year. Si ati pesa haziko benki but once you spend such mnapunguza cushion kutoka external economic issues na pia mnyanyima sector zingine za umuhimu hizo pesa. Kama waelewa biashara unajua huezi risk your financial armour on a gamble. Kama ni mambo ya mineral resources, the MGR would still serve efficiently. Same goes for imports which can still be efficiently served na road while at the same time opening up new areas along the roads for development. Kukimbia kwa Kenya na Eth kujenga SGR ilikuwa tu njia ya kuboost growth ya economy on the short run while hopping citizens will use the cash to build themselves at the same time attract FDI. Hiyo story ya SGR is more efficient bla bla bla ni porojo tu
SGR Mwanza-Isaka loading...!
 
Back
Top Bottom