Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni studio au night club????πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Ndio hii "nightclub" ya Citizen

1010.jpg

Kizungu kizungumkuti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. Hiyo tunajua. No man is an island, we all need each other in one way or another. Leaders from the west and east visit Africa so many times. This is just a lame excuse
Huyo uhuru anayesafiri ovyo amewafanyia nini cha maana zaidi ya kuwaletea mashida kibao na madeni yasiyolipika?
 
Nani aliyebisha kwmb green spaces ni muhimu kwa maisha yetu tatzo hujanisoma vzr nmesema nyie mna msitu mnene kuliko majengo km utaangalia miti iliyokuwepo uko kwny cities za developed countries ni ya kimkakati ata nmeweka pcha hapa kukuonesha tofauti ya msitu wenu na wa developed countries ambapo we ndo huwa unapenda sn kutumia km mfano msitu uliokuwepo kwenu co wa kimkakati bali ni upungufu wa majengo
Sasa wewe ulikuja Nairobi ukahesabu idadi ya miti dhidi ya idadi nyumba na ukapata miti ni nyingi kuliko nyumba? And what's wrong with that even if it's true? That's why Nairobi is the headquarters of UNEP. It's by default. Ama ni wivu tu coz unataka Nairobi ifanane hivi? πŸ‘‡ πŸ‘‡
Screenshot_20190806-201923.png
Screenshot_20190801-184138.png
Screenshot_20190801-151536.png
 
Huyo uhuru anayesafiri ovyo amewafanyia nini cha maana zaidi ya kuwaletea mashida kibao na madeni yasiyolipika?
Sisi sio kama nyinyi mnaosamehewa madeni. Tunakopa kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hata deni ya SGR tushaanza kulipa already. Usiwe na shaka ndugu
 
Sio kwamba eti hamtaki kusamehewa ni kwamba Walio wakopesha hawataki kuwasamehe,
Mngekuwa na uwezo wa kulipa msinge nyimwa mkopo wa kumalizia ile reli isiyoenda popote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu anasamehewa deni Kwa sababu hana uwezo wa kulipa, sio eti aliyemkopesha ameamua tu kufanya hivyo. Ni huruma mlionewa being that you are an LDC and you have so many problems to deal with. About reli kumalizika, you need to update your knowledge on current matters

Ldc lakini inajenga miradi yake kibao bila kukopa kopa ovyo mfano mradi wa reli tena ya umeme Dar-Moro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini cha ajabu nchi inayojisifu kuwa na uchumi mkubwa eti hadi km 1 hadi ikope.

Sisi sio kama nyinyi mnaosamehewa madeni. Tunakopa kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hata deni ya SGR tushaanza kulipa already. Usiwe na shaka ndugu
Hahahaha, mnalipa Madeni kwa kukopa tena, hamna uwezo wa kulipa ninyi ni taifa masikini njaa njaa tu. Kama hata chakula mnategemea misaada, mtapata wapi pesa ya kulipa Madeni?, mchina alistukua na kukataa kuendelea kuwakopesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ldc lakini inajenga miradi yake kibao bila kukopa kopa ovyo mfano mradi wa reli tena ya umeme Dar-Moro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini cha ajabu nchi inayojisifu kuwa na uchumi mkubwa eti hadi km 1 hadi ikope.

Pesa za ndani indeed πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Living in denial won't save your a**es
 
Back
Top Bottom