mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
na wakija wanaishia kutamani tu.Eti nipoteze hela nikatalii Kenya! Nchi yetu nzuri Yaani Wakenya wanakuja kula sikukuu kibao.
na wakija wanaishia kutamani tu.Eti nipoteze hela nikatalii Kenya! Nchi yetu nzuri Yaani Wakenya wanakuja kula sikukuu kibao.


. Wewe uliona hata gate ya shule kweli?
you and my doughers look the same.
shuleni hatujifunzi kiingereza pekee,sawa malkia wa uingereza???
Nimeenda Tanga magari kibao ya Kenya, Moshi na Arusha ndio usiseme....hadi juu kule Lushoto wapo wanakula stress-free batana wakija wanaishia kutamani tu.
Sio kila anaenda mjini hana cha kufanya iyo Ni wewe umesema,lakini nakubaliana na wewe kwamba pop kua kubwa sana sio kitu kizur esp ndani ya mji mmojaMasikini wanakimbia vijijini kutafuta maisha Dar!, wanaishia kwa slums, hawana kazi, wanaenda kurandaranda na kuzubaa kwa beach! hiyo sio maendeleo ni ufukara! Dar itakua ovyo kuliko Lagos. Kiambu county with a smaller population ukilinganisha na Dar collects more revenue than Dar, ina maana population ya Dar haisaidii uchumi wa Dar, wengi ni idlers, in a weekday kukiwa na mechi kati ya Simba na yanga huwa mnajaza stadium, kama vile mlijaza uwanja during cecafa women, can't happen in Kenya in a weekday! haiwezekani, ata wakisema ni bure kuingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course I don't understand what "dance my flows" is. Is that also mandarin? 😂 😂 😂Kuna kitu hujaelewa???..nikueleweshe maana mi ndo kazi yangu
Keep quoting me,because am your choir master..
Yapo mengi sana ila nashuku wamekujia wale omaomba warudishwe makwao
They live on less than a dollar a day sasa ya kutalii ndio watoe wapi?Hiyo pesa mko nayo mmeiba kutoka wapi? Because the last time I checked about half of Tanzanians were filthy poor.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yenu kuuwa wananchi alaf mwasingizia mimeua alshabab😀😀😀
Poorest country haiwezi kua na per capital ya $1160 get your facts rightTanzania is the poorest nation in East Africa and everyone is aware of that.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupika data kijanaI know you are executing projects "kwa pesa zenyu za ndani", ila wakati mukulu aliingia madarakani deni la taifa lilikua trilioni tsh.15, baada ya miaka minne sasa ni trilioni 55 (tshs), 40% of your GDP, which is $62B, kwa nchi yenye low revenue collection in relation to national budget na population ya over 55 million, hilo ni janga kwa taifa.., hili pia utapinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
NiKilimani View attachment 1313174View attachment 1313175View attachment 1313176View attachment 1313177View attachment 1313178View attachment 1313179View attachment 1313180View attachment 1313181View attachment 1313182View attachment 1313183View attachment 1313184View attachment 1313185View attachment 1313186View attachment 1313187View attachment 1313189View attachment 1313192View attachment 1313205View attachment 1313206View attachment 1313208View attachment 1313211
Ungemuuliza ina floor ngap britam😀😀😀😀
Punguza hasira
Hehe with biggest slums on planet😀😀😀😀Hiyo ndo ukweli. Dar is a poor city which should compete with Mogadishu. Nairobi isn't your mate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafanya wakenya watafune Simu zao jamaa wa slum wananjaa kichenzi
Usinambie alieweka Google earth hakua mwerevu zaidi yako wewe😀😀😀😀Satellites do not write names of places on images they capture. Their work is just to capture images. Anything written on an image captured by satellite is done so by people just like you and me. The International Space Station is located thousands of kilometers away from Dar and those who work there do not even know there exists a place called Mwananyamala in Dar or Umoja in Nairobi. The names of places found on Google earth are written by people like you and me, not google earth! Someone may decide to write that Donholm in Nairobi is a slum and everybody who views it will believe so. Google doesn't even have a satellite of its own!
Britam nusu nyumba nusu mnara lolIt seems you are out of your senses. Let me educate you a bit.
Top 5 Tallest buildings in East Africa
1. Britam tower 200m
2. CBE tower 198m
3. GTC office tower 184m
4. UAP tower 163m
5. Zemen tower 160m
No Tanzanian building in top 5. Three are from Kenya and two from Ethiopia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize ina floor ngap 🤣🤣🤣