[emoji23][emoji23]yamotoooMukiskia Kenya imetajwa munitag[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani kujua kuwa nairobi kuna vibanda nako kunahitaji shule????..Kwhyo mashinani kulingana akili yako ni nairobi slums, turkana na marsabit...
Watu wengine shule huaga mnaenda kufanya nini jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamchelewi kusema hapo ni Mathare..!!.navyojua mimi wakenya wapo allerged na vitu vyaoMchawi hajaielewa chochote. Ni wapi amesema hapo ni Kenya? Ama unachizishwa na supu ya albino?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwaambia ukweli huwa wanakasirika mpk wanakaribia kurusha ngumiHamchelewi kusema hapo ni Mathare..!!.navyojua mimi wakenya wapo allerged na vitu vyao
Picha za 80s Nairobi upperhill and section of WestlandKinachowauma ni huyo Eunice kuwachana ukweli,
Iko wazi kabisa huwa hampendi kuambiwa ukweli,
Hapa si unatembea kabisa na mguu hakuna haja ya kutumia usafiri [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1311604View attachment 1311605
Sent using Jamii Forums mobile app
then hii ndio ya sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha za 80s Nairobi upperhill and section of WestlandView attachment 1312034
Sent using Jamii Forums mobile app
hako kajiji kao ni trash tu.tukiwaambia wanajaa gesi.Asilimia kubwa ya Wakenya wa Nairobi huenda kazini kwa Mguu, Just imagine hapa dar mtu atoke mbezi hadi posta kwa Mguu..
tuko dunia mbili tofauti.
Pamoja na CBD imo ndani😂😂😂Picha za 80s Nairobi upperhill and section of WestlandView attachment 1312034
Sent using Jamii Forums mobile app
kila kitu mpaka yeye mwenyewe[emoji23]Pamoja na CBD imo ndani[emoji23][emoji23][emoji23]