Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Adjustments.JPG



Adjustments.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bwana bwana bwana mtambo unachanja mbuga😂😂🤣🤣🤣
Hewa ya ukaa 😂😂😂
yaani nimeumia sana ndugu kuona treni hizi za kisasa wakati zetu zinatuchosha kwa kelele na moshi....ina maana Kenya imekosa umeme wa kutosha? apana...hii itakua ni wizi mkubwa ulitendeka kule kati ya serikali na wachina...haiwezekani reli yetu ikawa ndio bei ghali ila nje ya stesheni, hamna jambo la maana...bridges ni za kawaida sana ila ona tu za wenzetu...duh! tuliibiwa...
 
Mkuu hiyo post ya huyo jamaa umeitoa kwenye thread ipi
Hii hapa.
 
There's no word as allerged in the English dictionary as you allege
Narudia tena "learn Mandarin ancient and modern" utajua nilikuwa namaanisha nini
Sijui nani kakuambia kwamba hapo nimetumia kiingereza... usipende kuishi kwa mazoea,utayumba boya wewe!
 
Back
Top Bottom