Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na huu🤣🤣👇👇👇
Screenshot_20200101-143741_YouTube.jpg
 
Kenya seem kubwa ni pori yn majengo unahesabu tofauti na kwetu pande km Dar hatuachi maeneo yawe pori eti kwa excuse ya kutunza mazingira kumbe majengo machache cc mapori ya kutosha tunayo but Dar ni seem ya buildings na ndio maana ikaitwa the new York of Africa kuna picha apo umeweka km usingekuwa ww ndo umepost ningejua ni msitu wa Congo
New York hakuna vibanda cbd
2256651_IMG20191228105528.jpeg
2257614_IMG20191228110427.jpeg
2256850_tapatalk_1577712542572.jpeg
 
Tena kwa taarifa yako mihogo kwa ss ni zao lenye kuhitajika mno pia lina faida sn na ni adimu nazani ata ww apo ulipo unatamani mihogo na hili zao tunataka kulipeleka level nyngne omba omba km nyie njaa ikiwakamata tunakua tunawapeni mihogo inakaa sn tumboni hamtolialia njaa kila wkt
Kumbe hata wewe huaga unabugia mihogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom