Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza mteka raisi ndiyo Ila tatizo ni kuiteka nchi ,leta picha ya ilo bomba tuone na hapo unapo paita wazi ujue tangu tunapigana na mabeberu kukomboa bara la afrika Ikulu ilikuwa hapo hapo mabeberu hawakuweza kuvamia itakuwa mashoga ya kdf
Mbona ikulu wenu ipo sehemu wazi tu? Hapo kumteka jiwe ni sekunde tu Kwanza akipata jeshi ambalo linajielewa Kama KDF Navy wing wanapitia tu kwa lile Bomba la maji taka na wamo ndani ikulu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule uswazini kwenu Nani aende? Ukitembea tu steps mbili toka barabara kuu unapata wavulana amekaa vibarazani sijui Wana discuss Nini ,unataka niibiwe ? Ule uchochoro wenu acha tu sithubutu.
Sisi tunataka utuleteeu swazi tunapo ishi maana dar tunaishi mseto masikini na Matajiri wapo uswazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswazi hata mimi nililemewa kuenda.......in dar you can only walk around the cbd or the beach strip areas....hata parts zingine za kariakoo hatari sana
Kule uswazini kwenu Nani aende? Ukitembea tu steps mbili toka barabara kuu unapata wavulana amekaa vibarazani sijui Wana discuss Nini ,unataka niibiwe ? Ule uchochoro wenu acha tu sithubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasee hawajawahi kanyaga Nairobi kuona real city.....in my view dar is like Mombasa
Magomeni,kigogo wanaishi watu wa kipato Cha Kati, hebu nambie kule tandale,mabibo, manzese etc wanaishi wa kipato kipi? Dar yote ni uswazi hata kule unako sifia Zile nyumba za mbezi bado hadhi yake ya chini mno ,sinza hata usitaje hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ikulu wenu ipo sehemu wazi tu? Hapo kumteka jiwe ni sekunde tu Kwanza akipata jeshi ambalo linajielewa Kama KDF Navy wing wanapitia tu kwa lile Bomba la maji taka na wamo ndani ikulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko wazi eeh? Si hapo tuu hata visiwa unavyoviona, ncha za Kigamboni na Msasani vyote havina watu. Wewe nenda tuu kapige picha halafu utuwekee hapa ili kunogesha safari yako ya Dar.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom