Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kuna kiongozi niliheshimu hapo Tanzania ni Kikwete......jamaa alikua mchapa kazi na hakua na bwebwe wala majivuno,nadhani kama bado angekua rais kiuchumi tungekua level moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuuuu!!! levo moja na Kenya ???? Nani anataka kuufanana na kenya sisi atuwezi kuuza nchi yetu wala kusujudia mzungu wala hatutaki kuishi kwa slum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar imejengwa ndani ya13 yrs wakat nairobi imeanza kujengwa 45yrs lakini maendeleo hakuna,
Usafiri mbovu wa umma, majengo yaliyochakaa, maghorofa yanaanguka mara kwa mara, maghorofa zaidi ya elfu kumi yapo hatarini kuanguka, slums za kutosha.
How old are you? Sometimes I usually wonder you teach your children. So meaning 2005 kurudi nyuma hukukuwa na nyumba yoyote Dar? Wewe supu ya albino imekuaribu akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema Dar imeanza kujengeka 13yrs ago and that's why nimekulliza kwani Dar haikuwa na nyumba before that time? Remember between 2005 - 2019 Nairobi has built many infrastructure than entire Tanzania combined.
Wewe naona supu ya jaluo inakuaribu akili,
Kwa hiyo unafananisha Dar ya kipindi hicho na Dar ya kipindi hichi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema Dar imeanza kujengeka 13yrs ago and that's why nimekulliza kwani Dar haikuwa na nyumba before that time? Remember between 2005 - 2019 Nairobi has built many infrastructure than entire Tanzania combined.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia kwa hiyo Dar ya kipindi kile ina mfanano na ya sasa hivi?
Many infrastructure za kunyanyua tofali mbili juu 😂😂😂
 
Sasa kama Dar CBD ya sasa hivi ndio barabara iko hivi, then how was Dar ya kitambo.
Nimekuambia kwa hiyo Dar ya kipindi kile ina mfanano na ya sasa hivi?
Many infrastructure za kunyanyua tofali mbili juu
View attachment 1306949
IMG_20191229_232136_004.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukiskia venye wanajiconsoul ati watapita Nairobi 2020 huwa nacheka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwehu kweli ss tuipite mara ngp cc kwa ss tunajiandaa kuachana na hii battle kwakuwa nyie co saiz yetu tena mda c mref tutakuwa tunawauzia umeme tutaanza kuwapa msaada wa chakula mmeshaanza kutumia hospitali zetu kwa magonjwa km cancer mmeshaanza kuja kujifunza jnc ya ku finance miradi mikubwa ss tuwazid mara ngp
 
Ichoboy where are you? Is this the Millennium you were talking about?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwehu kweli ss tuipite mara ngp cc kwa ss tunajiandaa kuachana na hii battle kwakuwa nyie co saiz yetu tena mda c mref tutakuwa tunawauzia umeme tutaanza kuwapa msaada wa chakula mmeshaanza kutumia hospitali zetu kwa magonjwa km cancer mmeshaanza kuja kujifunza jnc ya ku finance miradi mikubwa ss tuwazid mara ngp
IMG_20191230_015005_537.JPG
 
Back
Top Bottom