Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo nilikua naendesha gari tulia baadae niende stage
Una mdunga sindano ya ganzi Kwa kumwambia upo Kenya maana wakenya ukitaka wakimbie Uzi wajue tu wewe upo Kenya wote wana nywea Na janerose aka viking23 mkimbizi aliye rudi kwenye huu Uzi ,utamchafua akisikia upo Kenya lazima matusi yamtoke ,kuna siku sinta sahau alitukama matusi hatari baada ya jamaa kwenda Mombasa na kutuletea picha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaloleni slum. KISUMU, still sio miti
Lete picha za Miji kama Naivasha, Kisumu, Mombasa, hata hapo Nairobi mjini tuone nguzo zenu. Hata chakula hamna, mtaweza kuweka nguzo za zege nchi nzima?, Kenya is really a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1577182482831.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mdunga sindano ya ganzi Kwa kumwambia upo Kenya maana wakenya ukitaka wakimbie Uzi wajue tu wewe upo Kenya wote wana nywea Na janerose aka viking23 mkimbizi aliye rudi kwenye huu Uzi ,utamchafua akisikia upo Kenya lazima matusi yamtoke ,kuna siku sinta sahau alitukama matusi hatari baada ya jamaa kwenda Mombasa na kutuletea picha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂
 
Sizungumzii ubora wa majengo yanayojengwa Nairobi au Kenya kijumla

Na wala sizungumzii kuhusu kubomolewa nyumba Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Kibamba wala jengo la Tanesco, la hasha

Hapa nazungumzia hatuna sheria za maana za kukomesha ujenzi wa makazi holela kama haya yaliyopo Manzese, Tandale, Mwananyamala, Mbagala, Tandika, Keko n.k

Ni vile kila mtu akipata pesa ananunua kiwanja anajenga bila kufuata utaratibu wowote wa mipango miji, hili nchini kwetu ni tatizo

Hali ni tofauti na Kenya, penye ukweli lazima tuseme hizo slums wako nazo wana hali ngumu kweli kuliko hizi sehemu zetu za uswazi... Nyumba zilizopo uswazi kwetu ni bora kuliko zilizopo kwenye slums zao

Ila ukitoka nje ya hizo slums hukuti typical character za akina Manzese, Tandale, Tandika na Keko zaidi ya kukuta Estates na Gated Community za maana

Issue ya makazi kwao nyang'au ziko serious sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure uku kwetu mipango miji wanatuangusha sn wamelala mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe unazungumza nini?, Magufuli amevunja NYUMBA na jengo refu la serikali pale Ubongo hadi wamarekani wamelalamika.

Acha kujiabisha kwa kuzungumza mambo kwa ushabiki. Kama kuna nchi hapa barani Afrika ambayo sheria za ujenzi hazifuatwi, Kenya inaongoza. Huna aibu eti unaipongeza Kenya Kenya kwamba wapo serious?, are you mad?.

Kenya majumba yanaporomoka kila wiki na kuuwa makumi kwa mamia ya wakenya, bado unasema wako "serious", hivi wewe kichwa chako ni timamu kweli?.

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo hajawahi tembelea kenya....siyo mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom