Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Get to know plural n singular forms of word Habitat ! That's a Latin word! And it is also in Plural form!
Your level of confusion is out of this world. UN Habitat is a UN body, just like UNHCR, UNICEF, WHO and many others. How does that make it plural? SMH! Just in case you didn't know, it's global headquarter is in Nairobi, Kenya
 
Hivi wewe unazungumza nini?, Magufuli amevunja NYUMBA na jengo refu la serikali pale Ubongo hadi wamarekani wamelalamika.

Acha kujiabisha kwa kuzungumza mambo kwa ushabiki. Kama kuna nchi hapa barani Afrika ambayo sheria za ujenzi hazifuatwi, Kenya inaongoza. Huna aibu eti unaipongeza Kenya Kenya kwamba wapo serious?, are you mad?.

Kenya majumba yanaporomoka kila wiki na kuuwa makumi kwa mamia ya wakenya, bado unasema wako "serious", hivi wewe kichwa chako ni timamu kweli?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kurudiarudia majengo hiyo kiambu county hospital ni kenyatta teaching hospital na ipo Nairobi hiyo MTRH kids hospital ni kids wing! Kudanganya maana yake mmekosa cha kuonyesha!
nini huelewi? nilikushow I've placed 5 different referral hospitals and their different facilities
 
Malls zinabomolewa nyingi Nairobi kuwezesha upanuzi wa barabara na hata zingine zinabomolewa kuhifadhi mazingira. Kwa mfano, Ukay Center in Westlands na West End Mall along Lang'ata road zilibomolewa kuhifadhi mazingira. Taj mall in pipeline estate was also demolished to pave way for road construction. Haya sio mambo ya ajabu Kenya

Nyumba kadhaa za kifahari pia zinabomolewa nyingi sana haswa maeneo ya Syokimau to pave way for road construction
 
Wenzako sasa hawataki kukubali, bado hutaka kulinganisha dar na kibera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza you people I've done some background check on your assertions that some Kenyans seek treatment in Tz, kumbe ni ile siku ya strike ya health workers and you're here bragging. Alaf it's Taita residents. Wako kwa border. They have brothers and sisters in Tz. Nikama Kenyans in Busia going to party in Uganda 😂😂 Either way, what's the problem with someone seeking treatment where they find convenient?
 
Duh!!hata unatia huruma...
Dar population(more than 5 million)
Nairobi population(4 million)

Sasa angalia idadi ya matajiri, middle class na maskini katika hayo majiji kisha urudi hapa...

Point of correction!! 60% of the nairobi population lives in eastlands..so hyo idadi ya 2 million umeitoa wapi..au ni hasira tu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I though hamtegemei waChina? our very wealthy neighbors. Kwanza umekuwa wapi? CCM hawakulipa za Christmas? weka number data ikiisha nakuskumia kitu
Sisi tunapokea utalii yoyote budaa mbona unawaswas sana🤣🤣🤣
 
Gated community is not our priority but planned affordable houses to all! Believe me u r not living in one of those poshy houses!
There's nothing like planning in Dar. Don't use that word and Dar in the same sentence coz they don't coexist. And thanks for acknowledging that those are "poshy" houses by the way. At least tushajua moyo inakubali lakini ulimi inakataa. I just hope you meant to say posh and not "poshy" because there's nothing like "poshy" in the English dictionary 😂 😂. "Classy" would have been more appropriate. A slip of the tongue I hope
 
Sizungumzii ubora wa majengo yanayojengwa Nairobi au Kenya kijumla

Na wala sizungumzii kuhusu kubomolewa nyumba Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Kibamba wala jengo la Tanesco, la hasha

Hapa nazungumzia hatuna sheria za maana za kukomesha ujenzi wa makazi holela kama haya yaliyopo Manzese, Tandale, Mwananyamala, Mbagala, Tandika, Keko n.k

Ni vile kila mtu akipata pesa ananunua kiwanja anajenga bila kufuata utaratibu wowote wa mipango miji, hili nchini kwetu ni tatizo

Hali ni tofauti na Kenya, penye ukweli lazima tuseme hizo slums wako nazo wana hali ngumu kweli kuliko hizi sehemu zetu za uswazi... Nyumba zilizopo uswazi kwetu ni bora kuliko zilizopo kwenye slums zao

Ila ukitoka nje ya hizo slums hukuti typical character za akina Manzese, Tandale, Tandika na Keko zaidi ya kukuta Estates na Gated Community za maana

Issue ya makazi kwao nyang'au ziko serious sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…