komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hapo ni dar middle class(uswazi)Mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa taja ni sehemu gani hapo dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni dar middle class(uswazi)Mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa taja ni sehemu gani hapo dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo is a shopping district in dar......why are the goalposts now shifting.....i thought you call it the biggest market in tangsanyia
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanananisha na hizo unfinished buildings zenu, kuwa na adabu.Lol
......those karakoo ghorofas are a normal estate in Nairobi...........but the chaos is real
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa za kwenye bajeti ya nchi ambazo zilitakiwa ziende mashuleni nynyi mnazinunulia ndege tena hta bila ya kujulikana nani alipitisha huo mswada bungeniATCL imenunua ndege mpya 11 nane tayari ziko hapa Tz
Walisema hatuna hela Hawa jamaa....Hakuna idara tutawaachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza boli jombaGrow up sio kubishana kwa kuhalalisha maneno ambayo hayajatamkwa.
So, estate ni English translation ya maghorofa. I'm dealing with an illiterate rat.Lol
......those karakoo ghorofas are a normal estate in Nairobi...........but the chaos is real
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutolee ujinga hapa,
So, estate ni English translation ya maghorofa. I'm dealing with an illiterate rat.
Endelea kupiga domo..mimi hata sina hamuTutolee ujinga hapa,
Mkurupukwaji mkubwa.
Ninyi pesa zote za kujenga "dams" zimeingia mifukoni mwa wakora, chakula mnategemea kupewa msaada na China na nchi za UAE. Failed state ninyiPesa za kwenye bajeti ya nchi ambazo zilitakiwa ziende mashuleni nynyi mnazinunulia ndege tena hta bila ya kujulikana nani alipitisha huo mswada bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanananisha na hizo unfinished buildings zenu, kuwa na adabu.
Huna hamu na kinachokufanya uniquote ni nini,
Why can't you just admit that kariakoo is a market of highrise buildings.....infact thats the only place i enjoyed in dar.....i like street adventures....though i was told it has a very high rate of crime
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kariakoo inamsumbua kichwa 😀😀😀😀Ukweli ni kuwa kariakoo pekee ina maghorofa mengi kuliko headquarters za slums Africa Nairobi,
Kariakoo ni tegemeo asilimia kubwa ya nchi zinazotuzunguka,
Wafanyabiashara wengi kutoka nchi zinazotuzunguka huja kununua bidhaa zao kariakoo,
Tembea ujionee sio kujifungia kwenye slums huko.
Hataki kudrop ego 😂😂😂 akubaliane tu na ukweli japo unauma.Jamaa kariakoo inamsumbua kichwa 😀😀😀😀
Ukweli ni kuwa kariakoo pekee ina maghorofa mengi kuliko headquarters za slums Africa Nairobi,
Kariakoo ni tegemeo asilimia kubwa ya nchi zinazotuzunguka,
Wafanyabiashara wengi kutoka nchi zinazotuzunguka huja kununua bidhaa zao kariakoo,
Tembea ujionee sio kujifungia kwenye slums huko.