Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapumbavu wakigundua Kenya itafaidika zaidi kule Rwanda wanaweza hata kusitusha huu mradi., kama wanaweza choma vifaranga vya Mtanzania mwenzao kwa ajili alinunua Kenya, ni lipi wasiloweza kufanya?., Tanzania iko kwenye giza kuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna swala hamjaligundua bado. sgr yetu hata bila ya majirani itafanya kazi vilevile. tuna biashara za kutosha kuhitaji usafiri wa train to and from kanda za maziwa na DSM.
Tatizo ni nyie ya kwenu haiwezi fanya kazi bila majirani
 
Wapumbavu wakigundua Kenya itafaidika zaidi kule Rwanda wanaweza hata kusitusha huu mradi., kama wanaweza choma vifaranga vya Mtanzania mwenzao kwa ajili alinunua Kenya, ni lipi wasiloweza kufanya?., Tanzania iko kwenye giza kuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye roho mbaya na ukabila utamgundua tu, siku zote anawaza utengano na unyanyapaaji
 
Nairobi cbd
20171112_135920_5S0A2286.jpg

HEDNairobi-1.jpg
 
Majina mengi sehemu moja tu......nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwaaaahhhhaaaa tunavyo waambia dar kubwa mnafikili mchezo licha ya kukesha humu jf na mapicha yote tunayo tuma amjaweza kuijua dar imekaaje kaaje wakati mm nimeijua Nairobi yote Kwa kupitia picha mnazo post
Tena Dar kuna UPANGA WEST NA UPANGA EAST
hata kinondoni kuna KINONDONI A NA KINONDONI B. wakenya wakija dar kila siku ni kupotea potea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
there's one very big difference between what you'cve posted and CBD. One photo is taken from Tom Mboya street and it separates the CBD and downtown. The other is Eastleigh in Eastlands . Before you even reach that Nation Center building you have to cross Moi Avenue which you can't show and I will show it

Moi_Ave_-_Nairobi.JPG
 
View attachment 1293190
Best of u😀😀😀👇👇👇
images (16).jpeg
 
Ndio naijua sana mbona😀😀😀
View attachment 1293183
They look so close but you have to cross two streets before you get to that CBD. Ujinga kapelekee watoto wadogo. Dar you can't differentiate CBD and downtown even on street level leave alone aerial. Here's the boundary you can't show and you have never been to Nairobi so you don't know.

Kwanza utapita Tom Mboya

tom mboya.jpg

then go to Moi avenue

Moi_Ave_-_Nairobi.JPG

then Mama Ngina

mama ngina.jpg
 
Back
Top Bottom