Endelea kuumia tu😀😀😀👇👇👇
Haya tuoneshe upanga tuoneshe kijitonyama tuoneshe masaki tuoneshe oyesterbay tuoneshe msasani au mbezi au ubungo au ilala au part ya kariakoo kurasini etc😀😀😀😀😀
Hehehe mji mkubwa huu hapa😂😂😂😂
Endelea kupiga domo jombaHuna hamu na kinachokufanya uniquote ni nini,
Jifunze kusoma kabla ya kurukia quote ovyo ovyo.
Grow up.
Sio opinion, ni hali halisi hiyo.The good thing is that's your personal opinion and we respect it.Here we deal with facts and statistics
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kujisumbua bana, hii ndio imemaliza hali halisi ya darView attachment 1293445
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tuoneshe upanga tuoneshe kijitonyama tuoneshe masaki tuoneshe oyesterbay tuoneshe msasani au mbezi au ubungo au ilala au part ya kariakoo kurasini etc😀😀😀😀😀
Acha kuokota picha. Angalia watu wanakoishi ni bora hata ya mabanda ya nguruweNa pia kufananisha Nairobi na huu upuzini laana! View attachment 1293342View attachment 1293343View attachment 1293344View attachment 1293346
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hyo miradi ipitishwa na serikali tofaiti na nyinyi...Ninyi pesa zote za kujenga "dams" zimeingia mifukoni mwa wakora, chakula mnategemea kupewa msaada na China na nchi za UAE. Failed state ninyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuokota picha. Angalia watu wanakoishi ni bora hata ya mabanda ya nguruwe
View attachment 1293447View attachment 1293449View attachment 1293450
They call themselves developed country. Idiots
Unaumia sana😂😂😂
Wanavyosema wana mall 100 Ni sawa kama mall zenyewe ndio kama nnayoiona hapo





Nah, it tells me that you need to go to schoolIt's a statement telling you that most Nairobi estates are storied buildings. Simple
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna biashara ukafanya Tz ikakataa unless otherwise uifanye kwa mazoeaKuna swala hamjaligundua bado. sgr yetu hata bila ya majirani itafanya kazi vilevile. tuna biashara za kutosha kuhitaji usafiri wa train to and from kanda za maziwa na DSM.
Tatizo ni nyie ya kwenu haiwezi fanya kazi bila majirani
kumechakaa balaaKariakoo is a district. What you think you posted is a Bazaar, not even 1/6 of the entire size of Kariakoo. Do you notice who's dumb here? Halafu, I don't see anything wrong with people selling things along the road. We are not the first world to have boutiques everywhere. The question is, do you have those boutiques? Au ni uchafu huu
View attachment 1293399
Mgonjwa weweNdege ziko in their thousands in Kenya bado mnaongelea ndege mbili lol
Sent using Jamii Forums mobile app