babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Endeleeni kushuku 😂😂😂Nashuku ndio wanawasha moto kati ya Uganda na Rwanda kama vile wanafanya Somalia ili tufungiwe bahari. Kutamani sana biashara ya port inawafanya hadi kutumia pesa za ndani kujenga reli ilhali wananyima wanabiashara hizo pesa which ultimately constricts the economy.
