Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa taarifa yako picha ambayo ndugu yako alipost ili kulinganisha na aerial view ya Tanga ni ya kenya maana nadhani wewe ulidhani ni ya Tz,
Yaani ichoboy01 kapost picha ya Tanga alafu ndugu yako akaleta sijui jengo gani huko kwenu akalinganisha na aerial view ya Tanga,
Nakuambia tena jifunze kusoma vizuri kabla ya kuanza mabishano yasiyo na tija yoyote.
Mbna unaweweseka, mi hta nishayamaliza..sai nasubiria uingie kumi na nane za ku zoom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna unaweweseka, mi hta nishayamaliza..sai nasubiria uingie kumi na nane za ku zoom

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi ona kilaza kama huyu, hivi ni kiswahili hujui kusoma au ni ufinyu wa akili,
Embu nioneshe ni wapi nimeandika maswala ya kuzoom ,
Sitaki mambo ya kulazimisha maneno ambayo sijayaandika,
Weka screenshot hapa,
Nilikwambia jifunze kusoma na kuelewa kabla ya kukurupuka.
 
We hta endelea na ishu zako, ipo siku uuuuu[emoji17][emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini ya Mungu hahahahah yani nimecheka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We kwan hujatoka, kemu nenda ukajirushe hko punguza kelele mi mwenzako naskiza tumziki hom hku nikifanya mambo yangu solo tu leo...so niache kiasi
Screenshot_20191215-010926_WhatsApp.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika kwa geopolitics, it's too early to celebrate. Best thing is just to wait until the last kilometer is laid. Also, keep in mind that landlocked countries will always spread their risk when it comes to logistics. It'll be fatal if they solely rely on the central corridor. A country like Ethiopia is using the ports of three different countries.
Wakenya mnajipa moyo bure tukianza kuleta treni zetu za Umeme nchi zote zitasujudia njia ya tz note my word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom