Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivuuuu!., machungu sana, ugua pole pole. Kwenyu ni ma dream houses kibao tu.., outside Lagos hakuna mji wa masikini wengi kama Dar is slum!., fanya utafiti ujibiwe na facts.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuna post ukasema eti oh kudisplay flag kwenye Burj Khalifa ni friendly gesture ya UAE? Mungu baba 😂 😂 😂 Yaani wewe unaweza hata kubakwa na ukasema ni friendly gesture.
 
Punguza chuki. You wish you had them. Too bad all you got are "dream houses" 😂 😂 😂 Dangagiza!!!
Unadhani nina chuki sasa? Mi huwa ni mkweli. Kama unapost uchafu nakwambia na huo upuuzi unaopost ni hostel tu na sio kwamba Tanzania hatuna maana tunazo nzuri zaidi ya hizo. Halafu, kama ninavyokwambia kila siku maana naona haunielewi, sijui we kichaa? "hunifahamu" kwa hiyo huwezi kutengeneza judgements zozote kuhusu mimi little dreamer sawa?.
 
Unaona propaganda sio maendeleo, mwenzako kakuelezea uhalisia wa mambo on the ground, wewe mwehu unasema eti ni chuki! Mwana CCM penda ukweli ujikomboe. Propagandist idiot!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm inawatesa sana vichwa vyenu😀😀😀 miaka minne ya jamaa munaona kama miaka 30😀😀 hugo ndugu yako namjua vzr sana😀😀😀 eti km 300 miaka 30🤣🤣🤣🤣
 
1576231064670.png

1576231206323.png

1576231238941.png

1576231486135.png
 
Hiyo was a good gesture by Dubai gov't to Kenya., ilidhibitishwa no money was paid, they did the same to Uganda, during their independence celebration, Tanzania ndio hamjulikani kabisaaa., cha kushangaza waislamu ni wengi sana na nchi ya kiislamu haiwatambui!!., inatambua Kenya and Uganda! Less than 20% Islam!.,

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

 
Masikini ni wewe na familia yako. Siwezi kuishi kwenye hizo hostel hata siku moja yaani hata college dorm yangu ilikuwa nzuri kuliko huo upuuzi mnaopost halafu nione wivu? Hivi unajjitambua wewe kweli? 🤣 🤣 Tanzania watu wengi wanaishi kwenye nyumba zao na huu mtindo wa kuishi kwenye apartments ndio umeanza kuboom sasa hivi lakini hata kama ni apartments, za kwetu sio kama hayo magofu. Uhalisia wa hizo hostel ni huu hapa chini
View attachment 1290852
Of course the whole world knows za kwenu ni hizi hapa. Dream houses in their plenty!!
Screenshot_20191003-212551.png
Screenshot_20190927-201839.png
Screenshot_20190928-132128.png
Screenshot_20190928-132332.png
 
Sasa impacts za hizo projects kwenye uchumi wa nchi na mtu mmja mmja ni sawa na barabara au unajichekesha kwa sababu hulipii sauti na mdomo ni wako?
Afu usinilishe maneno sijasema hazina impacts yoyote ila nimesema hazina impacts kubwa ya kuchochea maendeleo ya mtu mmja mmja na taifa kama roads,hizi reli na ndege zimekuwepo miaka yote na zilijifia kinachobadilika hapa hasa reli ni speed tu..
Mkenya anaongelea maendeleo ya mtu mojamoja! So strange, we utakua wa mombasa kama sio basi muda si mrefu utahamia TZ mazima. karibu sana
 
Unadhani nina chuki sasa? Mi huwa ni mkweli. Kama unapost uchafu nakwambia na huo upuuzi unaopost ni hostel tu na sio kwamba Tanzania hatuna maana tunazo nzuri zaidi ya hizo. Halafu, kama ninavyokwambia kila siku maana naona haunielewi, sijui we kichaa? "hunifahamu" kwa hiyo huwezi kutengeneza judgements zozote kuhusu mimi little dreamer sawa?.
Kama mnazo kushinda hizo zetu si mlete dunia ione? You only have them in your dreams coz all I know you got down there are squalors called dream houses. Pull up your socks danganyikans!
 
Yani unazungumza sgr ina impact gan kwenye uchumi hvi wewe unaakilo timamu??🤣🤣🤣 hujui impacts zake kwenye uchumi au hujasoma ndugu ndege ina impact kubwa sana kwenye kuleta watalii na ikizingatia utalii ndio imekua kichocheo kikubwa cha mapato serekalini mbali na kuleta watalii pia ni kigogo kikubwa cha kutangaza watalii au hujui utalii umeajiri watu laki 5 na zaidi na hapo bila kusahau airline pia inaajiri watu wengi tu

Tukirudi kwenye SGR dunia yoyote uminayoendelea sasa hvi lazma ijikite kwenye reli tena ya kisasa kwasababu usafiri nafuu pekee duniani baada ya meli ni reli na inaweza kuondosha kwa mkupuo mzigo au abiria wengi sana kwa wakat mmoja sasa leo hushiki faraja kuona mtu anaeza kwenda dodoma kwa masaa matatu tena kwa bei nafuu huoni kwamba ile simplicity ya kufanya business itakua rahisi sana na bei zitapungua sana
Tatizo wakenya hawawezielewa faida ya sgr maana wamewekewa ya wese inawapiga hela mpaka hawana hamu nayo. Ngoja tuwaoneshe sgr inatakiwa iweje
 
Kama mnazo kushinda hizo zetu si mlete dunia ione? You only have them in your dreams coz all I know you got down there are squalors called dream houses. Pull up your socks danganyikans!
Unadhani tunaficha chochote? Nah, dunia inaona kila kitu na kwenu ndio wakatambua kuna slums. Sasa unacholilia ni nini? Mbona uko eager sana kulazimisha vitu ambavyo havipo?
 
Back
Top Bottom