Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya Subirini mwakani uone cha mtemakuni

Sent using Jamii Forums mobile app
On one end you say you are more developed. The next you say tusubiri mwakani. Am confused. By mwakani do you mean you're yet to catch up? shida you guys base your arguments on misinformation and propaganda. Sometime back you were told that Kenya's SGR station in Maai Mahiu (Naivasha) made no economic sense. Sikupata wakati wa kulog in huku but am sure Ichoboy was busy posting negative tweets hapa. Mmepiga hapa kelele Mombasa container freight business inaanguka yet hamuelewi what is happening. This week people were surprised that there's some serious work going on in Naivasha's SEZ by the private sector but the media will not report about it and it won't even trend on twitter.

Kwasababu zinanunulia kwa pesa cash sio nyinyi kazi yenu ku lease miaka 50 munamiliki hedge tatu🤣🤣🤣🤣🤣
That Bombadier ikija Kenya inakuwa ya kampuni kama Precision Air ama Jambo Jet (both subsidiaries za KQ as low cost carriers). Kwenye private sector Silverstone wako nazo kadhaa. Lakini TZ ni mojawapo ya strategic assets za ATCL. Na kama hujui progressive businesses and countries finance their growth with debt. Hata America ina deni kubwa sana. There's nothing impressive in owning a depreciating asset.
 
Kitu safi ale Ngong forest
ngong interchange.jpg
 
That Bombadier ikija Kenya inakuwa ya kampuni kama Precision Air ama Jambo Jet (both subsidiaries za KQ as low cost carriers). Kwenye private sector Silverstone wako nazo kadhaa. Lakini TZ ni mojawapo ya strategic assets za ATCL. Na kama hujui progressive businesses and countries finance their growth with debt. Hata America ina deni kubwa sana. There's nothing impressive in owning a depreciating asset.
Which Silverstone? This dead one?

Kwanza kq inamiliki ndege ngapi???🤣🤣🤣🤣
Tatizo leni nyinyi hua hamuitakii Tanzania maendeleo ndio maana Tanzania inapofanya mambo la muhimu kwenu inakua chuki

Atcl imenunua ndege 11 brand new cash deal within 3 yrs do u think is a joke, na bado imeagiza ndege 4 tena brand new

Punguzeni chuki za kipuuzi acheni Tanzania inyanyuke kama nyinyi mumelala bogus
 
Tanzanians are good at vijiweni stories
On one end you say you are more developed. The next you say tusubiri mwakani. Am confused. By mwakani do you mean you're yet to catch up? shida you guys base your arguments on misinformation and propaganda. Sometime back you were told that Kenya's SGR station in Maai Mahiu (Naivasha) made no economic sense. Sikupata wakati wa kulog in huku but am sure Ichoboy was busy posting negative tweets hapa. Mmepiga hapa kelele Mombasa container freight business inaanguka yet hamuelewi what is happening. This week people were surprised that there's some serious work going on in Naivasha's SEZ by the private sector but the media will not report about it and it won't even trend on twitter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mpakistan modern coast
Kumbe ana gari 88 tu hahhaa abood pekee ana bus zaidi ya 300

Tanzania asilomar kubwa Ni ile haina magari so usafiri kwa mabasi Ni very common infact very few Tanzanians can afford air tickets and don't have an alternative of SGR and other private means.
 
Back
Top Bottom