Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Hadi huku
Kwa hiyo kwa majirani unapokua hospitali ukiona dalili ya mvua unatafuta namna ya kutoka hospitali ukatafute sehemu ya kujikinga na madhara ya mvua. Siajabu kwenye mall ndio sehemu za kujifichia maana hawajajenga wakenya

