Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si nynyi mlijifanya mnaweza kufanya biashara na uganda kuliko sisi hku mkijisifu eti mna ushauri mkubwa EA...
Lijengeni basi[emoji1787][emoji1787]
Nimeuliza kuhusu lile bomba toka Lokachiar kwenda Lamu, mbona sisikii hata kuwekewa jiwe la msingi?
 
Ukiona unauma jinyonge
1575376923531.png
 
Nani awekeze katika nchi isiyokua na amani?, hakuna mwenye uhakika nini kitatokea baada ya 2022, tayari mnaanza kutupiana matusi miaka mitatu kabla ya uchaguzi
Wohuhuuuuu!!mtaomba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeuliza kuhusu lile bomba toka Lokachiar kwenda Lamu, mbona sisikii hata kuwekewa jiwe la msingi?
Utajuaje wakati mlijifanya mnajua sana mkajitia mnaweza waganda wakawathamani..
Kilichobaki ni mwendo wa kuzindua tu
 
Back
Top Bottom