Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio siri airport mpya ni kali,was there over the weekend but the city is shit
Kwn mwakani mnazindua expreesways ngapi
Unaona mkenya mwenzako alichosema ? Sasa kaja dar tunamtaka atuletee picha za slum mlizokuwa mnasema, na kuhusu airport mjue kuanzia leo ubishi tumefunga tena hapo airport tunampango wa kujenga hoteli kabambe ya airport very soon
 
Ayo anajitahidi sana kutuletea picha za miji yetu. By the way kwenye maswala ya usafiri DSM ilishadominate tokea enzi za Ukoloni. Karibuni Majirani mjionee picha bila filter
Naomba link ya hii video.
 
Unaona mkenya mwenzako alichosema ? Sasa kaja dar tunamtaka atuletee picha za slum mlizokuwa mnasema, na kuhusu airport mjue kuanzia leo ubishi tumefunga tena hapo airport tunampango wa kujenga hoteli kabambe ya airport very soon
Airport gani hyo..sema ile terminal III jomba...
Kwngine kwote ni maajabu, kuhusu jkia usijali kile kitu kitakachokuja kujengwa hamatoamini
 
Sababu ya kutumia gharama kubwa kuweka zege ni nini? Nikiangalia hali ya hewa ya hapo sioni utofauti mkubwa wa jotoridi kwa vipindi vyote vya mwaka.
Ni barabara inayotumika na very heavy trucks na nkwa mlima ukielekea limuru
 
Back
Top Bottom