joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hata kama unamchukia lakini ukweli jamaa ni kiongozi mahiri..
Majengo yenu hayavutii kabisa yaani ni kama buildings za 90's may be 80'sOld and new Nairobi. Kwa waliodhani GDP ni maneno tu 😎😎
View attachment 1276146
View attachment 1276149View attachment 1276171View attachment 1276172
Financed by .....🤣🤣🤣SGR phase two
View attachment 1277187
Muulizeni magu ile loan ya ile benki ilikua ya nnFinanced by .....![]()


Government of TanzaniaMuulizeni magu ile loan ya ile benki ilikua ya nn![]()
Au ndio keshazitia katika mfuko wa serikali na kuamua kuziita pesa za ndaniGovernment of Tanzania



Tuwasubiri watakuja tu hawana ujanja 🕑😂Usijali sana, walikataa kuja kujifunza kwa ndugu zao wa Dar, instead wakasema wanakwenda kujifunza Latin America na South Africa.
Au ndio keshazitia katika mfuko wa serikali na kuamua kuziita pesa za ndani![]()
Sisi Tanzania ndio tunatoka huku nyie mnaendako???City stadium View attachment 1275327
Pole kwa chukiMajengo yenu hayavutii kabisa yaani ni kama buildings za 90's may be 80's
Mbna unateseka sana...
Vighorofa vyenu vinacheza kwenye 20 - 25 (floors)Pole kwa chuki
Vighorofa vyenu vinacheza kwenye 20 - 25 (floors)