Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata sentence zako ni mbovu zote.......maan.....get a life.Wewe tutumie kichwa chako ndio tuhakikishe sio kofia imekubebea akili
Kukaa kwenye slum kumekupunguzia uwezo wa kufikiri 😂😂😂
Fake English accent tu hakuna kingine,
Siku nyingine before udanganye make sure umejipanga maana utaaibika kweli kweli na kuishia kukasirika na kutukana ovyo humu 😂😂😂
 
Siku nyingine ufahamu sio kila mtu ni mjinga kama wewe ,
Fake English accent ndio mnajua tu.
Why do you want to someone to post his person stuff online just to impress you? An email is a personal thing. Next utamuuliza apost picha ya mkewe/girlfriend
 
Why do you want to someone to post his person stuff online just to impress you? An email is a personal thing. Next utamuuliza apost picha ya mkewe/girlfriend
Unamtetea ili kumfichia aibu yake 😂😂😂 next time before muongee ujinga make sure mmejipanga,
Alafu unasema person stuff kana kwamba kuna mtu alimtuma aliongelee humu 😂😂😂
 
Unamtetea ili kumfichia aibu yake 😂😂😂 next time before muongee ujinga make sure mmejipanga,
Alafu unasema person stuff kana kwamba kuna mtu alimtuma aliongelee humu 😂😂😂
Kwa hivyo kujipanga ni kutumia a random person your personal information like email details? Ndio nini ifanyike?
 
Kwa hivyo kujipanga ni kutumia a random person your personal information like email details? Ndio nini ifanyike?
Aweke screenshot kama nilivyomuambia mwanzo, kama hana atulie na apunguze shobo,
Hatutaki uongo ni kijinga hapa,
Kama mmezoea kujichocha jichocheni kwa wajinga wenzenu huko.
 
You have good points but your thinking is shallow. Have you thought that maybe they would need some change of weather like any tourist would do? that maybe they've seen enough of Kenya and would want some variety? ama kutalii ni nini? you took a study? did you ask their reasons for choosing Dar ama ulikaa hivi na wale vijana wa mtaani to come up with reasons?

Usilie Lucy, no hard feelings, ni mambo ya kawaida. Tz ndo sehem pekee ya bata hapa east Africa. Hudrends of kenyans sasahv wanatunza mishahara yao kwaajili ya december christmas waje wale starehe na familia zao na wapenzi wao Tz. Nasisi tunawaandalia mambo safi kabisa hapa Dar na Zenji karbu sana kijana
 
Ebhn mkuu sorry hii dar pande gn mzee unajua nna mda kdg cjafka dar na dar yetu ya ss ucpofka mwez tu mambo yasha change
jina imenitoka hii hotel bro
 

Attachments

  • FB_IMG_1574887925807.jpg
    FB_IMG_1574887925807.jpg
    22.7 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1574887935335.jpg
    FB_IMG_1574887935335.jpg
    24 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1574887922433.jpg
    FB_IMG_1574887922433.jpg
    22.6 KB · Views: 3
Hahaha........hamtuwezi nyinyi tanzanians....huwa mko chini yetu kama kawa.......that's why you guys hate our guts...poleni
Yeah nyie hatuwawezi kabisa,sometimes huwa najiuliza how can somebody survive in those vibanda vya mabati pale kibera???..how can somebody be able to live in those unfinished buildings in mathare??

Only devil can do
 
Back
Top Bottom