Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Upuuzi ni huu hapa 😂 😂Shiiiiiiit sasa hiyo ni economy au upuuzi!
Acha utoto,watu wazima mna-behave kama kindergarten kids
Upuuzi ni huu hapa 😂 😂Shiiiiiiit sasa hiyo ni economy au upuuzi!
Acha utoto,watu wazima mna-behave kama kindergarten kids
Tatizo lako huna akiliTanzania population - close to 60 million people
GDP $62 billion
Kenya population - 49 million people
GDP $99 billion
Sasa Kati ya mkenya na mtanzania nani mjinga kulingana na utathmini huo?
Sasa hapo shida ni nini?
Ukiwa unaangalia origini mzee baba hata marekani haina matajir top ten, wote wale ni wayahudi na asili yao ni israel wazungu wengi pale asili ni uingereza pia mana walibaki tangu zamani, what about black americans sio wamarekani au waingereza wale kisa ni weusi? Niambie hao kwenye list ni yupi sio mtanzania by birth, niambie wamezaliwa wapi na wamekulia wapi wameanza biashara na makazi wamefanyia wapi kama sio Tanzania, hao ni watanzania by birth hasahasa bakhresa na huyo Mo wa kule singida. Wakenya mnajibagua wenyew kwa wenyew then mnabagua watanzania weupe kusema ni wahindi na waarabu ila mkibaguliwa nyie mkaitwa nyani mnaanza kuwalalamikia dunia nzima ijue eti weupe wabaguzi akati ubaguzi ndo huu unaonyesha hapa wazi. Kuna tofauti ya wanaotoka nje na kuja kutajirika Tz na hawa kina mo walozaliwa hapa na koo zao zimeanzia hapa ndo mana akaitwa mtanzania wa singida, tofauti na yule bilionare wa kenya alouliwa na mkikuyu mana yule kaja kenya kuwatafuna tu haja hustle kenya kama Mo alivyo hustle Tz
Tangu lini mkajua kufundisha au mnataka mtufundishe ukabila na rushwa 😂😂😂Mtanzania ni mtu unaweza mfundisha kitu aelewe?
Atuletee historia ya hao watu kisha alete na historia ya watu wanaomiliki uchumi wa Kenya 😂😂😂Sasa hapo shida ni nini?
Akikujibu utanitagNasubiri anijibu anaongea kama nani nimpe dawa kali![]()


Ebhn mkuu sorry hii dar pande gn mzee unajua nna mda kdg cjafka dar na dar yetu ya ss ucpofka mwez tu mambo yasha change
Huwez kuskia machina au Russia au nchi zingine duniani zikiingilia ni wale wale tu
mpya.. Kama kuna sehem tuanakosea hatuna budi kusema apart from politics we are Tanzanian... Big dream niku unite AfricaU r RightBig no, democracy ni sehemu ya maendeleo ya Tanzaniampya.. Kama kuna sehem tuanakosea hatuna budi kusema apart from politics we are Tanzanian... Big dream niku unite Africa
Hii insha yako ndefu pengine ungepelekea Mwalimu wako asahihishe. Ni mara ngapi hapa Mnasemanga kwamba uchumi wa Kenya inamilikiwa na wazungu na wahindi? Nyinyi mkiletewa wamiliki wa uchumi wenu mnaanza kuandika insha refu refu hapa zisizoeleweka. Pole kaka Kwa kutoa povu ndoo nzima, jitihadini mrudishe uchumi mikononi mwenu ndio mje mpige kelele hapaUkiwa unaangalia origini mzee baba hata marekani haina matajir top ten, wote wale ni wayahudi na asili yao ni israel wazungu wengi pale asili ni uingereza pia mana walibaki tangu zamani, what about black americans sio wamarekani au waingereza wale kisa ni weusi? Niambie hao kwenye list ni yupi sio mtanzania by birth, niambie wamezaliwa wapi na wamekulia wapi wameanza biashara na makazi wamefanyia wapi kama sio Tanzania, hao ni watanzania by birth hasahasa bakhresa na huyo Mo wa kule singida. Wakenya mnajibagua wenyew kwa wenyew then mnabagua watanzania weupe kusema ni wahindi na waarabu ila mkibaguliwa nyie mkaitwa nyani mnaanza kuwalalamikia dunia nzima ijue eti weupe wabaguzi akati ubaguzi ndo huu unaonyesha hapa wazi. Kuna tofauti ya wanaotoka nje na kuja kutajirika Tz na hawa kina mo walozaliwa hapa na koo zao zimeanzia hapa ndo mana akaitwa mtanzania wa singida, tofauti na yule bilionare wa kenya alouliwa na mkikuyu mana yule kaja kenya kuwatafuna tu haja hustle kenya kama Mo alivyo hustle Tz
Asiyekua na akili ni wewe unayeongelea uchumi wa Shilingi mbili licha to idadi ya rasilimsni mlizo nazoTatizo lako huna akili
Nimekuuliza aliyekuwa anatamba na economy ni mtanzania au mkenya?
This is awesome![]()
There's a time an article was shared here on how Kenyan online writers do research papers for British students running into millions of dollars annually. The article actually said Kenya is a bedrock of online research paper writing for students across Europe and Asia. Watanzania walitoa povu sana kuhusu hiyo article. Kenya's biggest asset is its human resource. People who are self-driven. People who don't wait for the government to do everything for them. This is what has propelled us to be the biggest economy in the region despite the fact that more than a half of our land is arid and semi-arid and lacks natural resources that most of our neighbours have.Most of Kenya's Gdp is based on diaspora remittances and online global presence. Millions of kenyans who do freelancing contribute to upto 20% of GDP..........
An average tanzanian hata kutumia ms word ni shida........hello Tanzanians....si uchawi ni bidii tu.And it's beyond your comprehension
There's a time an article was shared here on how Kenyan online writers do research papers for British students running into millions of dollars annually. The article actually said Kenya is a bedrock of online research paper writing for students across Europe and Asia. Watanzania walitoa povu sana kuhusu hiyo article. Kenya's biggest asset is its human resource. People who are self-driven. People who don't wait for the government to do everything for them. This is what has propelled us to be the biggest economy in the region despite the fact that more than a half of our land is arid and semi-arid and lacks natural resources that most of our neighbours have.
Very true. Ujamaa only helped in uniting them but it denied them the zeal to go out and venture. It made them believe that self-determination is a way of being selfish. That way, they believed that an individual's problem is everyone else's problem. That's why you see they how they label Kenyans as selfish people even on this forum.Tanzanians pretend like they are ok but just step into Tanzania from kajiado and see the stone age life they live ...........yeah ujamaa promoted unity but kept the people lazy and complacent


halafu walete picha ya brt ikipiga kata funia ndani ya uswazi hovels
There's a time an article was shared here on how Kenyan online writers do research papers for British students running into millions of dollars annually. The article actually said Kenya is a bedrock of online research paper writing for students across Europe and Asia. Watanzania walitoa povu sana kuhusu hiyo article. Kenya's biggest asset is its human resource. People who are self-driven. People who don't wait for the government to do everything for them. This is what has propelled us to be the biggest economy in the region despite the fact that more than a half of our land is arid and semi-arid and lacks natural resources that most of our neighbours have.