iam_paco
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 408
- 688
Usilie Lucy, no hard feelings, ni mambo ya kawaida. Tz ndo sehem pekee ya bata hapa east Africa. Hudrends of kenyans sasahv wanatunza mishahara yao kwaajili ya december christmas waje wale starehe na familia zao na wapenzi wao Tz. Nasisi tunawaandalia mambo safi kabisa hapa Dar na Zenji karbu sana kijanalol...daresalaam is just mombasa...spare us the nonsensical gibberish
